Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hta kw jiwe utaondolewa tu, kwhyo huo ujinga ubaoutaja yakiwafika wakwemu utakuja utetee hapa akifanya mzee wa chato
Embu ni jibu kama iyo serikali yenu haiko responsible iliwamisha wa nini? Ingebomoa ...na kuwacha sabab wanajua hapakuw kwao
 
Embu ni jibu kama iyo serikali yenu haiko responsible iliwamisha wa nini? Ingebomoa ...na kuwacha sabab wanajua hapakuw kwao
Ndio waje waseme wamebomolewa na hawakupewa hifadhi, hapa ukileta siasa huwezani kwanza za kwetu utabaki umejishoot mwnywe tu
 
Ndio waje waseme wamebomolewa na hawakupewa hifadhi, hapa ukileta siasa huwezani kwanza za kwetu utabaki umejishoot mwnywe tu
Kifupi uku ukingilia eneo la serikal ni kujiua umejiua...akuna cha msalia mtume
 
Wewe naomba usije ukani quote tena sawa mkuu? Naomba usini quote cz tutavulugana, naheshimu mchango wako ila kiuhalisia naona wewe hulitakii mema taifa, wewe nahisi ni civil servant uliyezoea vya bure bure.
Heheheh!!km nilivyosema hapa juzi, jamaa kuna majukwaa hamuyagusi manake unapigwa mbele nyuma

Umeona jamaa katinga hku hku na kukulisha za uso, pole sana mjomba manake sai naona huna hamu nae kabisa umebaki kulialia tu

Umeulizwa msukuma naye "ufipa"
Huyo msukuma kamaanisha nani kwanza, au ni jiwe lenyewe!!manake umekuja kali
 
Kwaiyo ww ukiambiwa ukujoe hadharan utakojoa ? Kisa umeambiwa?chenga kweli ww , kwanin ukuwambia hao wakupe ushaidi ili uprove
Sasa wewe ungelienda ukawapinge kw hoja, wala sio kuja hapa uanze kulialia..
Au km wamelipwa na mabeberu waichafue kariakoo pia vile vile sema kabisa
 
Tanzania ni sh*t country! Kama Lumumba
Tafuta kitu ya kukupa happy...
IMG_20210201_071615.jpg
 
Back
Top Bottom