Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dodoma
C1094E84-8ADE-422E-8F78-F8F9C4ADEB47.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] old town inanuka
old town imeoza
old town ni slum
old town choo cha mtu ndio dirisha la mwengine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] labda niwe mm sijafika msa ndio utanidanganya
Bwahahaha!!inakuumiza kumbe, old town imeipiga mpka mwanza
 
Si hta nyinyi mumepata ndege juzi[emoji1787][emoji1787]
Logic zako za kitoto kweli..
Mama ngina ni standard za kimataifa
Kwani nyinyi munamiliki ndege ngapi leo miaka 40??? 🤣🤣🤣🤣 ndege 3 ndizo munamiliki miaka 40 nani aliwaroga??
 
Kwani nyinyi munamiliki ndege ngapi leo miaka 40??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndege 3 ndizo munamiliki miaka 40 nani aliwaroga??
Umekasirika, hata km ni moja lkn ukweli mumeanza kumiliki ndege juzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mumepata flyover juzi km nchi, mumepata interchange juzi km taifa[emoji1787][emoji1787]

Mumepata radar juzi[emoji1787][emoji1787]
Niendelee
 
Umekasirika, hata km ni moja lkn ukweli mumeanza kumiliki ndege juzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mumepata flyover juzi km nchi, mumepata interchange juzi km taifa[emoji1787][emoji1787]

Mumepata control tower juzi[emoji1787][emoji1787]
Niendelee
Kwamba miaka 40 kq inamiliki ndege tatu alaf muko hapa munatafuta mchawi wa loss😅😅 eti loss ya miaka 10 inatoka wapi ?? Nimeskia mushaanza kugeuza ndege za abiria na kua freight hahahhahaha tutaona mengi mwaka huu
 
that’s liability. afu wapo humu wanajisifia zipo nying kumbe ni mbovu and liability!
Tulianza kununua ndege za asakri kutoka kitambo[emoji1787][emoji1787]
Kwhyo swala la kuwa na ndege za mda kila nchi amabayo imeanza kitambo wanazo
 
Umekasirika, hata km ni moja lkn ukweli mumeanza kumiliki ndege juzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mumepata flyover juzi km nchi, mumepata interchange juzi km taifa[emoji1787][emoji1787]

Mumepata radar juzi[emoji1787][emoji1787]
Niendelee
So kenya imepata mama mgina juzi wakat mwanza ziko zaidi ya 10 tena zaidi ya miaka 10 au nasema urongooo 😅😅😅
Zanzibar ina forodhani public park leo miaka 40 😂😂😂
 
Back
Top Bottom