Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1613128157.698905.jpg
IMG_1613128166.620514.jpg
 
Huyu ichoboy01 anateseka Sana[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji28], anajaribu kuitetea a town that Thika street look is more of a city than that ka Mwanza[emoji23][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji23][emoji1787]
Huyu tumezoea sarakasi zake. Eti yupo busy kucompare Mombasa na Mwanza! 😂
 
Thika iko na mwonekano wa city kuliko Mwanza! a 7th largest town!!
 
hili blame ni kwa Rais mwenyewe, kwa kukubali handshake na RAO na kudisrespect his deputy
Ila wana katiba ya kifala sana yaani Rais hawezi kumuondoa naibu wake! Yani jamaa ana namba za kutosha bungeni. Bila umafia wa kumuondoa Ruto kama Saitoti, 2022 ni vita! Jamaa muda huu ana walinzi private na soon atakuwa na militia wake! Jamaa ni hatari kinoma!
 
Nyinyi watu mna peculiarities zingine za maajabu. Sasa kupiga nyungu ndio kufanya nini? Huo unakaa kama uchawi. Sisi Kenya hatuna mambo kama hayo.

Nyungu haina tofauti na steam bath. Usichukulie poa nyungu. Inafanya mambo zaidi ya kutibu uviko-19. Hata yale mambo yetu yale, yaani nasukuma boli si mchezo 😛🤣. Sasa niko fit kama vile nina miaka 27.
 
Nyungu haina tofauti na steam bath. Usichukulie poa nyungu. Inafanya mambo zaidi ya kutibu uviko-19. Hata yale mambo yetu yale, yaani nasukuma boli si mchezo 😛[emoji1787]. Sasa niko fit kama vile nina miaka 27.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom