Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Hadi raha



, Tz hakuna lolote la kuweka? , 


teseka kabisaaa na bado sijaona eti umebadilisha ukweli., more posts am here waiting ,


Hadi raha



, Tz hakuna lolote la kuweka? , 


teseka kabisaaa na bado sijaona eti umebadilisha ukweli., more posts am here waiting ,


Ni kweli kabisa hawa wenzetu siyo wenzetu tena, maana akili zao zimefichwa na malkia Elizabeth, chochote atakacho waambia lazima wafuate. Wakenya ni kama maroboti they don't have ability to decide them selves.Mzungu aliondoka (ga) na akili za wakunya na amegoma kuwarudishia.
Ndio maana bado anawatawala.
Yosef Festo Kenya ni nchi ya hovyo sijawahi kuona katika dunia hii. Nadhani ibilisi aliangukia Kenya alipofukuzwa mbinguni.Hadi raha, Tz hakuna lolote la kuweka? ,
teseka kabisaaa na bado sijaona eti umebadilisha ukweli., more posts am here waiting ,
![]()
Hii KICC kila mkipost picha lazima itokee, hv Nairobi ni kadogo kiasi gani? Mpk inaboa aisee!!CBK TOWERS (Central Bank of Kenya)View attachment 1697209
Still crying boyi.,😂😂😂, uongo umekujaa kichwani., endelea kujitetea bado mambo ni pale pale., endelea kulia lia tu na vijisababu uchwara😂😂😂😂 try somthing else, pengine utapata nafuu., but I dont think so., next point.,Mwenzake alikimbia humu ndani mbona 🤣🤣 na kama anajiamini ajaribu nimube manake mombasa anafkiria atanidanganya nn huyo
Ni ngumu kutenganisha Nairobi na slums.Am not refusing. Slums zipo, shida nyinyi hulinganisha Dar na slums. You can only compare two comparable things.
Ina maana, Dar inafanana na Kibera. Ndivyo mtu akileta picha ya Nairobi nzuri, Hamleti picha nzuri ya Dar kulinganisha bali kina Ichoboy wanakimbilia Kibera.
Machungu na povuuu poleni kaka, hadi raha, saidia ichoboy01 kulia bro., ameumia sana., leteni kibera na akina korogocho muitete Dar es salaam village., mwaga matusi yote pengine itabadilisha ukweli na ikupe nafuu, utasikia vizuri kidogo endelea, be my guest,😂😂😂😂Yosef Festo Kenya ni nchi ya hovyo sijawahi kuona katika dunia hii. Nadhani ibilisi aliangukia Kenya alipofukuzwa mbinguni.
Hiki kwa akili yako kweli unaweza kufananisha na nchi inayojitegemea na nchi yenu hiyo tegemezi!?
Kiuhalisia hawawezi kusema hvyo ila ukweli unajulikana, hata wewe unaujua.Heading ya video yenyewe inakuambia SECTION of Nairobi residents. Haijasema the whole of Nairobi.
Wewe na Geza Ulole mna ujinga fulani kama mnaamini kwamba 100% ya Nairobi haina piped water. Kwamba hata UNEP headquarters na UN Habitat in Gigiri haina piped water? Kwamba state house ya Kenya haina piped water? Mna kichaa nyinyi.Kiuhalisia hawawezi kusema hvyo ila ukweli unajulikana, hata wewe unaujua.
hawa huwa wanajaribu kulazimisha fikra zao kwa Kenya, wanatamani ikue ukweli ili ionekane iko chini yao., noises tu, wasamehe, ni inferiority complex.Wewe na Geza Ulole mna ujinga fulani kama mnaamini kwamba 100% ya Nairobi haina piped water. Kwamba hata UNEP headquarters na UN Habitat in Gigiri haina piped water? Kwamba state house ya Kenya haina piped water? Mna kichaa nyinyi.
Satellite hazifungwi mzee. Wewe ni cosmologist fake na hujui hilo? Rocket inazunguka dunia kwa velocity ya juu sana na kisha inaiwachilia satellite iendelee kurevolve around the earth through inertia. Hizi satellite baada ya miaka kadhaa velocity yao ya kurevolve around the earth huwa inapungua na inaanguka ardhini. Satellite haziwezi kurevolve forever kwa sababu ya drag from the atmosphereTatizo lako Tony254 unataka kulazimisha kitu ambacho hukijui. Satellite huwa zinarushwa kutoka ardhini kwenda angani hicho ni kitendo cha kwanza. Kisha hufungwa ndio maana zipo kule angani zimetulia. Yaani satellites zimefungwa angani.
Kurusha ni kitendo cha kusafirisha. Lakini mwisho wa siku hufungwa ili zianze kufanyakazi.
Reasoning capacity yao iko down sanahawa huwa wanajaribu kulazimisha fikra zao kwa Kenya, wanatamani ikue ukweli ili ionekane iko chini yao., noises tu, wasamehe, ni inferiority complex.
Hio ya kwanza ni boom cranezinakaa kama drilling machines za Kigongo-Busisi! Ni za nn hizi? au kwa ajili ya SGR?
Wacha kuwa hater.Huwa nawashangaa sana wabongo wanaomuambia eti yuko tofauti na wakunya vilaza wengine wakati ni kilaza kama wakunya wengine tu.
Utofauti uliopo ni wa IDs tu ila ukilaza na ujinga ni kama wakunya wenzake tu.
ukweli kabisaa, lakini sio wote ni vilaza., wengi wao hawapendi ukweli, hapa ndio tatizo iko.Reasoning capacity yao iko down sana
Kukuambia ukweli nimekuwa hater tena!Wacha kuwa hater.