Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 leo kazi kazi usione aibu we pitia hapo

Na nikikuambia Mwanza size yake Eldoret unabisha sana😂😂😂 look at their suburbs?., am watching and rewatching your clips!., infact hiyo residential is nowhere near za Eldoret bro kulikoni?., ukipata residential kama za Eldoret Mwanza, well organized, modern housing., nafunga account., na sijakuletea za Machakos.,😂😂😂
 
Satellite hazifungwi mzee. Wewe ni cosmologist fake na hujui hilo? Rocket inazunguka dunia kwa velocity ya juu sana na kisha inaiwachilia satellite iendelee kurevolve around the earth through inertia. Hizi satellite baada ya miaka kadhaa velocity yao ya kurevolve around the earth huwa inapungua na inaanguka ardhini. Satellite haziwezi kurevolve forever kwa sababu ya drag from the atmosphere

Haahaaa
.Funga mlango
.Wamefunga shule
.funga uzazi
.Kafungiwa (kucheza, kuimba nk)
.Funga Kamera ukutani

Inamaana unataka kusema bila kamba neno funga halipo kabisa si ndo hivyo?
 
Na nikikuambia Mwanza size yake Eldoret unabisha sana😂😂😂 look at their suburbs?., am watching and rewatching your clips!., infact hiyo residential is nowhere near za Eldoret bro kulikoni?., ukipata residential kama za Eldoret Mwanza, well organized, modern housing., nafunga account., na sijakuletea za Machakos.,😂😂😂

Uhehehehehe mbona umetoka huko au ulijua kuna bangladesh slum itakuumbua 🤣🤣🤣
 
Na nikikuambia Mwanza size yake Eldoret unabisha sana😂😂😂 look at their suburbs?., am watching and rewatching your clips!., infact hiyo residential is nowhere near za Eldoret bro kulikoni?., ukipata residential kama za Eldoret Mwanza, well organized, modern housing., nafunga account., na sijakuletea za Machakos.,😂😂😂

Umeogopa kuna bangladesh slum mombasa itakuumbua 😆😆😆😆😆😆

wacha nikucheke tu., such shenanigans wachia ichoboy01 atetee fishing village, wewe discuss mambo mengine., , napenda anavyo expose Dar yote., the dude is a die-hard Dar fanatic., just another Mombasa kubwa.
Kwa ujinga ulio andik ndio unadhan unafaa kukosoa mtu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwekwekwe fimbo imeingia kisawasawa 👇👇👇👇👇
angalia bangi inaongea hapa 😂 😂 😂 , eti fimbo, unahurumisha, mbona kuteseka hivi ukitetea hakuna?😂😂😂😂., ulifanya bora kuweka video clip., hapa maneno yako yanabaki tu kua maneno., wacha video clips zako zizungumze na kujitetea😂😂😂😂,
 
Mji hauna maji na uko karibu na eti leo unashindanishwa na mwanza hvi watu muko sawa kiakili😃😃😃😃😃

angalia bangi inaongea hapa 😂 😂 😂 , eti fimbo, unahurumisha, mbona kuteseka hivi ukitetea hakuna?😂😂😂😂., ulifanya bora kuweka video clip., hapa maneno yako yanabaki tu kua maneno., wacha video clips zako zizungumze na kujitetea😂😂😂😂,
Uhehehhehe umeona kuna bakora mbele ukaona ukimbilie kwenye ushuzi mwengine unaitwa eldoret 😅😅😅😅😅😅 mm hakuna mji utanidangany keny labda lamu na turkana sijui wajir ndio sijafika
 
Hizi maana zote za funga hakuna hata moja inayohusu satellite kufungwa angani. Wewe unadhani rocket ikishafika angani na ianze kuzunguka dunia halafu iwachilie satellite halafu satellite hio ianze kuzunguka dunia hicho ni kitendo gani kama sio kurusha?
Tazama hapa

Jifunze kiswahili aisee. Hujui kiswahili sorry for that. Ni kama kubishana na kipofu kuhusu mwezi.
Hata kwenye mambo ya kawaida tu ya kisayansi hujui.

Rocket is a craft or a vehicle kazi yake ni kuibeba hiyo satellite na kuifikisha kwenye orbit.
 
Umeogopa kuna bangladesh slum mombasa itakuumbua 😆😆😆😆😆😆

unatafuta pakutokea baada ya kunyoroshwa kama kawaida yako😂😂😂😂😂., sikuletei mapungufu ya Dar leo, ukweli ni ule ule, mashambani, cant lower myself to your level😂😂😂 masikini kaumia leo, pole bro si kwa kupenda kwangu, ni facts tu, hatuwezi badilisha kamwe, endelea kulia lia bro na vijisababu.,😂😂😂 leo umepata taabu sana., unajaribu video inashindikana., umetafuta Tz yote umekosa jibu unarudi kutafuta mapungufu ya Kenya ili ujikomboe kutokana na kichapo😂😂😂😂😂😂 mwaga povu hadi basi., raha tele leo
 
Hizi maana zote za funga hakuna hata moja inayohusu satellite kufungwa angani. Wewe unadhani rocket ikishafika angani na ianze kuzunguka dunia halafu iwachilie satellite halafu satellite hio ianze kuzunguka dunia hicho ni kitendo gani kama sio kurusha?
Tazama hapa

Screenshot_20210208-114815.png
 
unatafuta pakutokea baada ya kunyoroshwa kama kawaida yako😂😂😂😂😂., sikuletei mapungufu ya Dar leo, ukweli ni ule ule, mashambani, cant lower myself to your level😂😂😂 masikini kaumia leo, pole bro si kwa kupenda kwangu, ni facts tu, hatuwezi badilisha kamwe, endelea kulia lia bro na vijisababu.,😂😂😂 leo umepata taabu sana., unajaribu video inashindikana., umetafuta Tz yote umekosa jibu unarudi kutafuta mapungufu ya Kenya ili ujikomboe kutokana na kichapo😂😂😂😂😂😂 mwaga povu hadi basi., raha tele leo
Umeona mwenzio alivo na akili 🤣🤣👇
Haha wewe umechokora youtube hadi ukapata hio video?
 
Back
Top Bottom