President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,793
Kwahiyo satellite inarushwa!? Kiswahili hujui.Satellite hazifungwi mzee. Wewe ni cosmologist fake na hujui hilo? Rocket inazunguka dunia kwa velocity ya juu sana na kisha inaiwachilia satellite iendelee kurevolve around the earth through inertia. Hizi satellite baada ya miaka kadhaa velocity yao ya kurevolve around the earth huwa inapungua na inaanguka ardhini. Satellite haziwezi kurevolve forever kwa sababu ya drag from the atmosphere
Ngoja nikufundishe kiswahili nakutaka usikimbie. Also achana na kuongelea cosmology au account, hapa tunaongelea lugha adhimu ya kiswahili.
Ndio maana umeambiwa satellite imefungwa angani.
Mfano: Unaponunua machine ya kukoboa mahindi utaandaa sehemu na utaenda kuifunga kwa kutumia spana, bolts zitakazwa.
Unaponunua kitanda parts zake zimesambaa kuziweka pamoja tunaita kufunga kwa kingereza unaweza sema assemble.
Sasa wewe mjinga usiyejua kiswahili unataka kutufundisha sisi waswahili.
Hayo mambo ya velocity and so on, ni lugha za kitaalamu.
,.,