Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani jersey hata sticker hazina bana, kwn zinatengezwa kinyamela nn
Jersey za Yanga hizi hapa mwehu ww, hakuna timu East Africa ina jersey quality km za Yanga, usione jamaa wa Simba amepost jersey ya Yanga ukadhani ni low quality, narudia tena hakuna East Africa club yenye jersey quality na iliyouzwa sn km jersey ya Yanga[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
Screenshot_20210205-215402.jpg
Screenshot_20210205-215351.jpg
Screenshot_20210205-215339.jpg
Screenshot_20210205-215325.jpg
Screenshot_20210205-215312.jpg
 
Yani jersey hata sticker hazina bana, kwn zinatengezwa kinyamela nn
Umenielewa komora, koma kabisa kuongelea kikawaida kawaida tm ya Tz, we are too far from you [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Jersey za Yanga hizi hapa mwehu ww, hakuna timu East Africa ina jersey quality km za Yanga, usione jamaa wa Simba amepost jersey ya Yanga ukadhani ni low quality, narudia tena hakuna East Africa club yenye jersey quality na iliyouzwa sn km jersey ya Yanga[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]View attachment 1695557View attachment 1695558View attachment 1695559View attachment 1695560View attachment 1695561
Uzi wa kiboya sana huo mzee baba, nyie basi mnajua jazi zikoje au unapiga kelele tu jamani..
Yani jezi ya mpira iwe hvo kweli[emoji1787]
 
Jersey za Yanga hizi hapa mwehu ww, hakuna timu East Africa ina jersey quality km za Yanga, usione jamaa wa Simba amepost jersey ya Yanga ukadhani ni low quality, narudia tena hakuna East Africa club yenye jersey quality na iliyouzwa sn km jersey ya Yanga[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]View attachment 1695557View attachment 1695558View attachment 1695559View attachment 1695560View attachment 1695561
Sportpesa😁😁😁😁
 
Ujenzi holela unasababisha miji yetu ionekene vituko,hakuna public garden na miundombinu bado ni very underdeveloped sana
Utapigwa mawe ukisema ukweli kuhusu Dar., be careful [emoji1787][emoji23],. ficha aibu ya Dar.
 
Back
Top Bottom