Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jersey feki hzo[emoji1787][emoji1787]
Uzi wa kishamba kweli huu
Yani jezi km vest vile jamani, yani nani aliyewadanganya hawa watu ya kwamba eti jersey iw km dera dera hivi

Tony254 waelewe tu jamani[emoji1787]
Inauma eehhh[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji3545][emoji3545][emoji2781][emoji2781]
 
Jersey mbaya. Sijui anapost kwa nini?
Uzi wa kiboya sana huo mzee baba, nyie basi mnajua jazi zikoje au unapiga kelele tu jamani..
Yani jezi ya mpira iwe hvo kweli[emoji1787]
Wallahi Kenya cjui mnapata wapi ujasiri wa kushindana na Tz

[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji3545][emoji3545][emoji2781][emoji2781]
Screenshot_20210205-233006.jpg
Screenshot_20210205-233055.jpg
 
Utapigwa mawe ukisema ukweli kuhusu Dar., be careful [emoji1787][emoji23],. ficha aibu ya Dar.
Watz tuko huru kila mtu anachangia anavyojisikia, wengi wa wanaoponda ni wale wenye mlengo wa kisiasa especially wale waliotumbuliwa, lkn hata wao pia cku hz wameanza kuelewa taifa linaelekea wapi, co nyinyi nchi imejaa upuuzi eti mnaona haya kusema ukweli humu.
 
We unafikiri hizi team kama bandari fc na city stars,kariobangi sharks na thika FC? Hizi team kubwa zina international players kibao Wana investment za kutosha we unaongelea jersey?[emoji846]wakenya hamuishi vituko kweli[emoji846]
Kila watu na mambo yao, hata sisi hku kuna michezo mingine tumewekeza balaa.
 
Duh ndo imefikia hv kwmb dunia nzima inakimbilia Tz!! Hv earnings from tourism sector si tutashindwa kuzibeba mwaka huu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huko zanzibar ndio hatari,ilibidi tutangaze kivutio kingine cha utalii mafia island aisee,mafia ina vigezo vyote vya utalii kwa wale watalii wanaopenda blue water
 
We unafikiri hizi team kama bandari fc na city stars,kariobangi sharks na thika FC? Hizi team kubwa zina international players kibao Wana investment za kutosha we unaongelea jersey?[emoji846]wakenya hamuishi vituko kweli[emoji846]
Alafu usiitaje badari na hzo timu zenu, manake bandari ni timu tajiri sana tatizo management mbovu..yani hku soka hakuna anayetaka kuliingia soko lake kichwa kichwa hata sijui wanaogopa nn
 
Back
Top Bottom