komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Unamaana ardhi za developed cities huaga ni za ghorofa sio[emoji2960][emoji2960]Tofaut ya new york na city zetu ni kitu kimoja, newyork ni developed city wakat za kwetu ni developing city [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani ni sawa na mbingu na ardhi
Huaga zina layers ndio manake zina watu wengi lkn ardhi ndogo sio, watu wanaishi kw layers[emoji1787][emoji1787][emoji1787]