Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Tandale kuna apartments? Maana Kariobangi ujuwe kuna apartments nyingi. Usikute Tandale ni nyumba za mabati tu.Tandale equals kariobangi
Tandale kuna apartments? Maana Kariobangi ujuwe kuna apartments nyingi. Usikute Tandale ni nyumba za mabati tu.Tandale equals kariobangi
Bro Nairobi nimekaa mitaa mbali mbali siwezi nikasingizia kitu ambacho hakipo mfano umoja one,2,3 mpaka kwa chief kuna washikaj wangu wengi wa rundi na wa Congo,komarock south c wasudani,rongai,kasarani,Zimmerman,mpaka githurai 45 wanakaa wanyarwanda/warundi,pangani waithiopia, Eastleigh/komaraock wasomali etc mbona wakimbizi Wanakaa maisha ya juu kuliko nyie wenyeji?Unasema ati asilimia kubwa ni slum? Ndio nakuambia kwamba huijui Nairobi wewe. Zaidi ya unachotazama kwenye TV wewe hujui lolote.
kawaulize Kiswahili chao cha Kenya au Tanzania!! Nina uhakika utaambiwa wana-linkage na Tanzania!Hahaha. Mbona ulisema 100% of Kenyans hawajui kiswahili? Sasa imekuwa 97%? Hahaha. Sawa nimekuelewa.
Halafu hao ni Wakenya na hawajawahi kufika Tanzania na hawana vinasaba vya Kitanzania. Hao walizaliwa Kenya na mababu zao pia walizaliwa Kenya na hawajawahi kuishi Tanzania.
Anyway wacha mjadala uishe.
Cc komora096
Dar hamna nyumba za mabati bali za tofali!Tandale kuna apartments? Maana Kariobangi ujuwe kuna apartments nyingi. Usikute Tandale ni nyumba za mabati tu.
We unaongelea nairobi ya kitambo labdaBro Nairobi nimekaa mitaa mbali mbali siwezi nikasingizia kitu ambacho hakipo mfano umoja one,2,3 mpaka kwa chief kuna washikaj wangu wengi wa rundi na wa Congo,komarock south c wasudani,rongai,kasarani,Zimmerman,mpaka githurai 45 wanakaa wanyarwanda/warundi,pangani waithiopia, Eastleigh/komaraock wasomali etc mbona wakimbizi Wanakaa maisha ya juu kuliko nyie wenyeji?
So what you are trying to say is that just like Kariobangi, Tandale is also a slum?Tandale equals kariobangi
Mwenzenu hapo anasema eti pipeline hakuna manjia na choo hujui estate zote za maskini ziwekwa lami na maji kitambo sanaDar hamna nyumba za mabati bali za tofali!
Mbweni kuna kuja Juu sana...wakijenga barabara za lami kwa mitaa inaweza funika Mbezi
Mimi zamani kidogo kabla ya mambo yangu ya kifedha kubadilika nilikuwa naishi Umoja 1. Sasa unasema kwamba Umoja ni slum? Kichwa chako ni kizuri kweli wewe? Kama Nairobi ni slum mbona kuna Watanzania wengi wanaoishi Nairobi? Kwa mfano wakati bado nilikuwa naishi Umoja, nilikutana na Watanzania wengi sana pamoja na Waganda na Warundi. Cha kushangaza ni kwamba wote wanafanya biashara ndogo ndogo. Kuna Mtanzania msichana alikuwa waiter kwenye hoteli ambayo nilikuwa napenda kula na aliniambia kwamba anatokea Mwanza. Kuna Mtanzania mwingine ambaye alikuwa anauza kwenye duka. Kuna Watanzania wengi walikuwa wanauza nguo mahali panapoitwa Mtindwa, nadhani unapafahamu. Sasa kama Nairobi ni slum mbona mumejazana humu mkifanya biashara ndogo ndogo haswa ya kuuza mitumba? Hadi MP Jaguar aliposema Watanzania wanaouza mitumba Nairobi waondolewe mkapiga makelele hadi serikali yenu ikaanza kutoa vitisho? Nakumbuka hata bunge lenu lilijadili hili swala na kutishia Kenya kwamba tusiwafukuze Watanzania wauza mitumba? Mnafanya nini huku kama huku ni slum tupu? Mnatafuta nini Nairobi? Mbona msibaki huko kwenu ambako hakuna slum?Bro Nairobi nimekaa mitaa mbali mbali siwezi nikasingizia kitu ambacho hakipo mfano umoja one,2,3 mpaka kwa chief kuna washikaj wangu wengi wa rundi na wa Congo,komarock south c wasudani,rongai,kasarani,Zimmerman,mpaka githurai 45 wanakaa wanyarwanda/warundi,pangani waithiopia, Eastleigh/komaraock wasomali etc mbona wakimbizi Wanakaa maisha ya juu kuliko nyie wenyeji?
Weee subiriTandale kuna apartments? Maana Kariobangi ujuwe kuna apartments nyingi. Usikute Tandale ni nyumba za mabati tu.
Ndo hiyo pipeline ulisema haina manjia angalia ujue ilishabadilika kutambo you people are living in the past hata kibera sasa ina njia nzuri sana na ilisafishwa na NYS
Unakaa kibera???Ndo hiyo pipeline ulisema haina manjia angalia ujue ilishabadilika kutambo you people are living in the past hata kibera sasa ina njia nzuri sana na ilisafishwa na NYS
Sikai kibera but najua kibera
Tunaongea kuhusu population between Dar and Nairobi wewe usharuka hadi unamention mikoa mengine. Hata jumbo rahisi kama kufuatilia hoja ni tatizo kwenu!!Hiyo sio sababu Tz watu wako spread kwenye mikoa mingine ambayo ina facilities kama za Dar unlike Kenya maendeleo yote yamekuwa concentrated Nairobi so people have to flock in na wala sio issue ya apartment majority ya mid and low income Kenyans live in slums.
Hehehehee watu wanajipa moyo tu hawaoni huku jinsi watu walivyojenga. ichoboy01 The best 007 nipige niendelee au niwasameh .?


Jibu swali.Weee subiri