Mbona unadanganya watu kwamba most of Nairobi ni slums? Lengo lako ni nini? Hatujakataa kwamba slums zipo lakini kwa nini unadanganya watu kwamba most of Nairobi ni slums?
Nairobi slums ninazo zijua na ambazo nimefika hizi hapa; alafu wadau waniambie kama ni least au most🙂
1.Kariobangi-darfur,githembe,kanyama,light industries,kariobangi sewage etc
2.Huruma-kiamaiko,ngei,
3.mathare-4a,mradi,desert,Kosovo,mlango kubwa etc etc area 4
4.mukuru kwa Jenga,kwa Ruben,mukuru kayaba
5.majengo,ziwani,shauri moyo,Kashmir etc
6.korogocho,Kisumu ndogo,Balkans.grogon a,b/gitathuru,ngomongo,Kona mbaya,undugu, mandrakos,
7.,kasabuni, lucky summer Baba dogo,kariadudu
8.kayole Soweto
9.kibera.line Saba,Lindi,Soweto, charagombe
10.kawangware etc etc
Hiyo imekaa aje mkuu🙂