Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Click that link nyambaff[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Kenyan news [emoji1787][emoji1787][emoji23] umechoka kweli, enda uniletee picha za Dar basi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787], your level.,
Ama soma full report hapa.,

World Bank; ,
https://openknowledge.worldbank.org.../9781464815980.pdf?sequence=4&isAllowed=y
Alaf world hawajawah kuwashtaki yani wasingiziwe au sio 🤣🤣🤣🤣

 
Hutaki bado [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]

Ama unasoma kwa hiyo link yako after Kenyan news kuna stroke (/), then unasoma world bank report hapo kwa link unadhani ni website ya world bank[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787], it is what is being discussed wacha ushamba bro[emoji23][emoji1787][emoji1787], naskia ulisomea Russia? Are they this daft?[emoji15][emoji23][emoji1787].,
 
Alaf world hawajawah kuwashtaki yani wasingiziwe au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

They don't easily answer/respond to fake news and propaganda.,[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hao wanajua ukweli na mahali shida ipo Africa., Infact kwa hiyo report wanawasaidia kutoka hapa[emoji116][emoji116][emoji116], soma uwape shukrani.,
JamiiForums1552698300.jpg
 
World bank mbona hawashtaki sasa kua wamesingiziwa sinawah sikia wameshtaki au nasema urongoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Shida ni kwamba taasisi zao za umma mbn zimekaa kmy? Hawajiulizi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwahiyo tumekubaliana No slums in Tz right?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Utaonaje wakati mnaziita dream houses? And then how do you even start comparing those squalors with Nairobi apartments?
 
Does that change anything. Has Dar become an organized city in those 8 years?
Dar ya 2012 unailinganisha na ya ss inayokwenda kufungua treni ya umeme, yenye flyovers kila pembe, dar yenye brt, we mpuuzi nn yn Dar ya 2012 unailinganisha na Dar ya 2021 hv unajisikia upumbavu unaoongea wewe? Dar ya 2012 unaifananisha na ya leo ambapo mpk mm namiliki dream house ya nguvu kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wakunya hutumia asilimia 90 ya masaa 24 kutafuta slums Dar es salaam na hawapati bado kwa sababu Tanzania hakuna slums.

History za browser wanazozitumia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Okay nmesema tusiuze umeme .. almost kila country ina surplus tho..so we might be idle while waiting for customers ..kwann hela isitumike kujenga Light rail na kumalizia BRT watu wetu wapate huduma ya chap ..kuliko kuhangaika kuongeza a 580mw plant after jNHpp that will wait for customers ..? We might be viewing things different tho unahangaika kujenga surplus power plant ..wakati hio hela ukiimutiply sector nyngne itakupa kodi nyingne na kuwasaidia watu kupunguza travelling time
Mnabishania sera kipofu za ccm,in fact Wizara na serikali ya ccm wanasema wanataka by 2025 kuwe na mgwt 10,000 sasa sijui nani atatumia umeme wota huo wakati by 2025 tutakuwa tunaconsume less than mgwt 2000.
 
Baadaye utakumbuka kauli yangu. Wewe ngoja tu miradi hizi mbili ziishe za 2,000 MW na 580 MW ndio mtajua kwamba kuzalisha ni rahisi lakini kupata demand ya umeme ni ngumu. Umeme utakaa idle. Anyway, time will tell. Baadaye tutajua nani alikuwa correct. Kwa sasa endeleeni kujipiga kifua.
At the same time running cost and maintanance cost zitakuwa palepale mwisho wa siku gharama ya umeme haitashuka ili kufidia uendeshaji na maintanance,ni sera za ajabu sana eti
 
Hata mimi nimeshangaa sana. Mimi nilijua consumption ya Tanzania ni between 1,400 MW na 1,500 MW huku production ikiwa 1,600 MW kwa hivyo surplus ni 100 MW. Hii habari ya Tanzania kuconsume 1,100 MW imenishangaza.
Geza Ulole unaweza kutoa ufafanuzi wowote kuhusu hili? Au huyo waziri ndiye amechanganyikiwa?
Ndio ukweli wenyewe ,inhia tovuti ya wizara au Tanesco utakura bajeti za kila mwaka zinatoa takwimu za uzalishaji na matumizi na policy direction ya uzalishaji by 2025
 
We jamaa sijawai kuona sehemu amabyo uko wrong .. its almost ur right kila kitu ..you cant have same views na watu wote ...
na jua Grid inajengwa na mimi sioni mama kuna shida grid ikijengwa na tukauza umeme nje cause tutapata pesa

Point yangu ni moja kujenga mitambo ijengwe ila sio kwa speed kubwa mpka umeme ukabaki surplus ..nchi gani umeona wanahangaika hawana umeme ukiaachana na SA na labda zimbabwe kidogo na hao SA wanajenga plants zao as we speak

So if JNHPP is u/c itazalisha 2115mw
Kinyerezi 1 ext 185mw 188mil usd

Rusumo 28mw

Afdb wame approve loan ya 50mw
malagarasi fall 120million usd mind you hio ni 250billion Tsh

Why uanze kujenga Ruhidij sijui na nyngne ipi zitazoproduce 560mw cost maybe be around 1bil usd kumbuka ..utauza umeme miaka mingap ugenerate revenue ya 1billion usd

Ushapata picha hio 1 usd B iende kumalizia phase za BrT 3 zilizobaki na kuanza kunenga light rail Dar na Mwanza ..unajua almost watu wote watatumia na hela itarudi chap kuliko kujenga power plants ambao wateja ni almost wakulenga cause nao wanahangaika kujenga plants zao ??
Kwa mujibu wa maccm ni kwamba huo mradi wa Umeme Ruhuji na Ruamakali ati ni kwa ajili ya kutumka kwenye migodi ya chuma ya liganga pindi ikianza ndani ya miaka 2-3 ijayo ko ni suala la kusubiri mda utasema
 
Mpango huo upo na najua upo na vinajengwa i just said nguvu iongezeke ili hyo miradi ikamilike (lrt na brts) mapema na sio kuifanya pole pole na hela inaenda kujenga plants

maana project tulizo nazo zitazalisha 2400mw lets say zote zikiwa zimeisaha by 2025 hyo power inaweza kutusukma hata by 5 years na bado tukauza ndo tuanze kujenga hizo 560mw .Geza what will change rapidly over next 5 yrs itachofanya to consume 2400mw zote ? Hapo tutakuwa tuna 4000mw lets say migodi 5 na refinery tano na SGR zitumie 1500mw tutakuwa na surplus ya 1GW
5 years,reall? yaani over 50 years of independent uchumi wetu una consume mgwt 1200 sasa hizo surplus si zitakuwa iddle pengine hadi 2040 huko
 
Umeme utahitajika sana tuu considering a 30bn LNG plant in Lindi , Electrified SGR, Gold refineries, Mchchuma Iron ore plant, New mines under construction and efforts to connect all villages in Tanzania. Zote zinahitaji umeme in the short run.
Polical Wishful thinking,hii ni sawa na wimbo wa Tzn ya viwanda ulivyopotea mdomoni mwa Mkuu wa kaya.
 
Back
Top Bottom