Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania Ports aerial map.jpg



Mi nangoja ujenzi upande wa Kigamboni
Tanzania Ports aerial map-Dar.jpg
 
Kutoka Julius Nyerere International Airport mpk kufikia kituo cha station,ni eneo pekee kwa sasa litakaloreflect uwekezaji mkubwa wa miundo mbinu katika jiji la kibiashara la Dar es Salaam uliofanywa na mpendwa wetu Rais wetu wa JMT, John Joseph Pombe Magufuli na watendaji wake,from flyovers to viaduct,from BRT to SGR plus upanuzi wa bandari ya Dar es Salaam,Ni wito wangu kwa makampuni yaliyopitiwa na miradi hii mikubwa kuimprove na kumaintain front view na entrance ya ofisi zao haingii akilini makampuni makubwa makubwa along the ways yakashindwa kumaintain hata kama ni 100*100 meters landscapes,wawasiliane na Jiji ili kuwe na standards na uniformity [emoji120][emoji120][emoji120].Mji wetu upendeze na kuongeza value yake katika bara la Africa na duniani pia.
Kweli kabisa mkuu yn umeongea kitu konki sn mfano pale Buguruni kwa Bakhressa lile geti pale mbele ya barabara linasabisha mlundikano wa magari pasipo sababu yoyote, wkt wangeweza kuziba pale na kuweka geti nyuma kule, yn ile viaduct pale Buguruni alafu mbele kdg unakutana na mfugale flyover panependeza sn ila lile geti pale walitoe bhn.
 
Wewe ndio wazimu. Mjinga wewe. Wewe huwa hupingi na facts. Unapinga na emotions. Wazimu ni wewe
Hahah acha kuchekesha watu tony 🤣🤣🤣 yani three bearth iwe na capacity ya 14tons hvi wewe unachukulia mambo kirahisi sana,
 
Unaujinga mwingi, Electric SGR mlianza nyie? BRT mlianza nyie? The biggest power plant mlianza nyie? 3 level interchange mlianza nyie?.
Hakuna kitu km electric sgr jomba wala biggest power plant[emoji1787][emoji1787]
Tena nikukumbushe interchanges pia tuliwatangulia, hapo BRT tu ndio mlitutangulia..

Lkn sio mbaya ukianza kuweka majina ya ajabu ajabu katika miradi yenu, ila ukumbuke sisi tuliwatangulia vitu vingi k2 asilimia tisini
 
Back
Top Bottom