Point yako ni kweli ila TPDC na Tanesco ni indepent organizations wote wana attarct wateja kutokana na hao wateja watachagua kipi..either Gas au grid electricty
Kuhusu ku build more Dams its better to do the project now while the goverment is able than to wait and be like SA with its power probs .kumbuka mkopo wowote haujachukuliwa ..na surplus yetu ni kama 100-200mw .so haitoshi in coming 3-4yrs ...cause right now only 2 plants that are U/C kinyerezi 1 ext 185mw and rusumo 28Mw
Viwanda amabvyo haviko coast bado vinahitaji umeme wa tanesco sio Gas cause ya bomba haliko huko..most viwanda vya north na western vitatumia Grid
SGR yetu itahitaji umeme maybe it might need 100mw-200mw to start with but a fully functional may need hata 500mw -700mw
TPA wanapanua sana ports ..na ports huwa zina consume umeme tho not much ..kuna airports pia zinajengwa kma uyoga ..kuna ku connect mines na Grid ya taifa na hizo ndo biggest power consumers
Tho it might take up to 10years to see that we need to build other power plants after completion of JNHPP
Ingekua usemi wangu tungepumzika kujenga power plants kwa miaka 3-5 baada ya JNHpp na tuweke nguvu sector nyingne zaidi. Kisha tuone trend inaendaje ila ndo hvyo serikali ishaamua hata kama demand ndgo ..
nmeona kuna mpango wa kujenga another Hydro ya 580MW kusema kweli that will be super surplus na white elephant unless itajengwa kuanzia 2028 iishie 2032 au kama plan yetu ni kuzima Gas plant na kwenda all hydro until ukame utokee
ila Kwa nyerere hydro sio white elephant cause ikiisha umeme wake angalau 1000mw utakuwa una matumizi within a short time 2-3yrs kwenye SGR,Ports ,Industries amabzo zinakuja speed in coming 3-5yrs
View attachment 1691397