Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
kwanini tusiuze hii grid inayojengwa ni for what purpose? wacha upuuzi! Ujuaji hausaidii, kuna vitu ni zaidi ya upeo wako hii ni mipango na unavyoongea SADC ina upungufu mkubwa wa umeme all the way mpaka South Africa umeme wa unit cost Tshs 36 hautakuwa na upinzani! Hata majirani hawataweza kushindana nasi!Okay nmesema tusiuze umeme .. almost kila country ina surplus tho..so we might be idle while waiting for customers ..kwann hela isitumike kujenga Light rail na kumalizia BRT watu wetu wapate huduma ya chap ..kuliko kuhangaika kuongeza a 580mw plant after jNHpp that will wait for customers ..? We might be viewing things different tho unahangaika kujenga surplus power plant ..wakati hio hela ukiimutiply sector nyngne itakupa kodi nyingne na kuwasaidia watu kupunguza travelling time
Facts speak louder than than ur preference! Kama Ethiopia watauza kwann sie tusiuze pia? Sisi tumekosa nn kushiriki kwenye hii biashara? Juzi tumezindua mradi wa nickel kuna miradi wa graphite, gold refineries na Liganga and Mchuchuma iron ore and coal inakuja na ni energy intensive! Unafikiri watatumia umeme upi? wa unit cost Tshs 36 au kujenga power plants zao?
Power supply still a problem in SADC region || The Southern Times
Malawi challenges SADC energy experts to find lasting solutions to power problems - Malawi News | Breaking News, Politics, Business & Sports | Nyasa Times
Malawi breaking news publishing 24 hours a day news about Malawi, Malawi Business, Malawi Tourism, Malawi Politics, Malawi News
www.nyasatimes.com