Gwizzy
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 638
- 884
I know the current status of both Nairobi and Dar., tuanze na ipi?
Nai.,Eastlands, a low middle income estates cannot compare to any place in Dar low middle income residential.,
Ongezea buruburu
I know the current status of both Nairobi and Dar., tuanze na ipi?
Nai.,Eastlands, a low middle income estates cannot compare to any place in Dar low middle income residential.,
Hizo vigo zinafanana hostels za nairobi university 🤣🤣🤣Ngoja nikuonyeshe maana ya affordable housing in TZ. Hizo ni kwa watu wa hali ya chini sana Tanzania. View attachment 1693210View attachment 1693211View attachment 1693212View attachment 1693213View attachment 1693214View attachment 1693215
Huyu tonny 254 mwanzo nilimuona anaelewa ila sasa naona kila moshi miaka 7 inamchanganya.Angalia unavojichanganya sasa![]()
This our version of the affordable housing programNgoja nikuonyeshe maana ya affordable housing in TZ. Hizo ni kwa watu wa hali ya chini sana Tanzania. View attachment 1693210View attachment 1693211View attachment 1693212View attachment 1693213View attachment 1693214View attachment 1693215
Sasa kama hizo ni za Watu wa chini sana, hizi ni za matajiri?Ngoja nikuonyeshe maana ya affordable housing in TZ. Hizo ni kwa watu wa hali ya chini sana Tanzania. View attachment 1693210View attachment 1693211View attachment 1693212View attachment 1693213View attachment 1693214View attachment 1693215
Don't tell me you didn't see it 😂 😂🤣🤣🤣🤣🤣 office buildings
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ati sanitation and tanzania was listed one of the countries in the word with poor sanitation get your facts right tanzania wengi wanatumia choo za shimo 🤣🤣🤣Makazi yetu kuna maji, security, sanitation,mtu anapiga meals 5 kwa siku etc sijui upande wenu labda utujuze vile🙂
I saw it too. Alishapost hadi kituo cha polisi 😂 😂Hahaha. Halafu kuna ingine ya bus station aliweka akisema ati ni apartment. Sijui kama uliiona? Hawa watu wana vituko sana.
Alafu wanajiona wako afadhali 😂 😂Dar es salaam is worse than a village kwa wingi!! heri kuishi mashambani., 80-90% ya sq km ni ushuzi(their saying) mtupu!!
And that's the point. Tulikuwa tunajaribu kueleza Ni kwa nini Nairobi Ni ndogo ila kuna watu wengi wakati Dar Ni kubwa ba ina watu wachache ukizingatia ukubwa wake. Point yetu ni kwamba Nairobi kuna apartments nyingi ndio maana licha to udogo wake, imeweza kubeba kiss kikubwa cha watu kama hiyo.Wewe kweli mzito kuelewa ulicho andika na nilivyokujibu nimetoa sababu kwanini Dar population ni ndogo kuliko uhalisia sasa unashindwa nini kuelewa? Majibu yangu yako very plain hata mtoto wa primary angeelewa.
Maisha popote bwana mkubwa,kingine mzunguko wa hela kwenu uko juu, Nairobi kuna sehemu nzuri tu sio kote kubaya 🙂napenda maeneo ya lower kabete kuna investor mmoja namfahamu kutoka middle East ana real estate safi Sana 🙂Aziz consultant unamjua? Pale lavington ana apartment za kiwango🙂karibu jaffery schools Nairobi sema slums zinawaharibia muonekanoMnafanya nini Nairobi kama nchi yenu ni ya asali na maziwa? Mbona mnafanya biashara ndogo ndogo Nairobi? Mbona umekataa kujibu hili swali?
tukiwaambia dar kubwa na sehemu nyingi za dar hatujapiga picha wa kuchukua video wanabaki kutoa macho.....
Safi Sana 👍👍tukiwaambia dar kubwa na sehemu nyingi za dar hatujapiga picha wa kuchukua video wanabaki kutoa macho.....
wao kila siku wanapost upperhil na kilimani estate ni zile zile tu miaka nenda rudi
You really want to sound like an informed person but the opposite Is the truth. Kama Nairobi is that small, which is a fact, ungejiuliza iweje inamudu kubeba kiasi kikubwa hivyo ya watu? The answer is so simple: There's vertical development ( I don't know whether you'll understand this) and that's why there are apartments virtually every where in Nairobi. Tatizo. These apartments accommodate more people in a small area.Simple math haya kataa sasa🤣🤣👇👇
View attachment 1693162
Ai kilimani wapi sahizi hadi county za inje kuna estates kali kali jua kenya haijalalatukiwaambia dar kubwa na sehemu nyingi za dar hatujapiga picha wa kuchukua video wanabaki kutoa macho.....
wao kila siku wanapost upperhil na kilimani estate ni zile zile tu miaka nenda rudi