Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu kariobangi naifaham Sana nimefika pande hizo imegawanyika,north,south, light industries ,city council housing, hapo alipo achia picha nikaribu na outering estate upande huo mwingine kama unaelekea umoja caltex,mpaka embakasišŸ™‚kariobangi South kidogo kuna mpangilio huko kwingine kote upande wa kariobangi informal settlements A.k.a slums
Kwa hivyo wewe ulikuja kuishi Nairobi kwa nini kama Nairobi ni slum? Ona huyu mjinga. Si ungebaki huko kwenu ambako hakuna slums ule maziwa na asali ya CCM. Unakuja kwa slum kufanya nini?
 
Screenshot_20210203-054128~2.png
Screenshot_20210203-053114~2.png

Bro The best 007 ichoboy01 muhifadhi hiz picha nisijekuona mnashindwa tena na hao waja
 
Kwa hivyo wewe ulikuja kuishi Nairobi kwa nini kama Nairobi ni slum? Ona huyu mjinga. Si ungebaki huko kwenu ambako hakuna slums ule maziwa na asali ya CCM. Unakuja kwa slum kufanya nini?
we wa kunitaa mjinga kweli? Siwezi nikakutukana siko hivo jirani yangušŸ™‚ Kuna sehemu umeskia nimesema Nairobi mzima imekaa slum? Kweli? Mbona Nairobi kuna sehemu kumekaa vizuri Hilo Mimi sibishi maana Nairobi naijua vizuri Ila hapa tunaongelea swala la slumšŸ™‚Mimi nlikua kwa ajili ya kazi kuna sehemu nyingi Nairobi kumejaa nyumba nzuri tu lakini asilimia kubwa ya estates upande wa pili kuna slumšŸ™‚
 
Mfano runda beautiful and one of expensive suburbs nyuma slumšŸ™‚
Kitisuru nyuma slumsšŸ™‚
Hurlingam nyuma slumšŸ™‚
Thome estate nyuma slumšŸ™‚
Karen kuna slumšŸ™‚
Buruburu nyuma slumšŸ™‚
Etc etc
 
Back
Top Bottom