Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Aaah kweli mkuu mshikaji hataki kukubali kauliza buruburu slum iko wapi? Jibu lake city cotton na kiambio slums kando ya buruburu🙂Park land pia pembeni kdg slums![]()
![]()
Aaah kweli mkuu mshikaji hataki kukubali kauliza buruburu slum iko wapi? Jibu lake city cotton na kiambio slums kando ya buruburu🙂Park land pia pembeni kdg slums![]()
![]()
Dar hamna nyumba za mabati bali za tofali!
Huko sikujuiCity cotton na kiambio ziko wapi?
Normal standards of living in Dar es salaam is low quality!! kiushamba sana., na wengi wame kodisha., tusidanganyane, you cannot comp;are to eastlands where 60% of Nairobians resides. Dar is an epi-centre ya low life standards of living in East Africa., on average 80-90% are living in village type houses, even worse., prove me wrong?
View attachment 1693165
View attachment 1693166
View attachment 1693167
Look at some places in Dar..,na ni sehemu kubwa kubwa ju ya your big population sprawled all over..,
View attachment 1693168




takwimu zako ndio zinanipa kichekoHahaha. Hebu tafuta hizi picha zingine ulete humu. Wacha nisave hizi kwa simu yangu za kuwapiga baadaye.Normal standards of living in Dar es salaam is low quality!! kiushamba sana., na wengi wame kodisha., tusidanganyane, you cannot comp;are to eastlands where 60% of Nairobians resides. Dar is an epi-centre ya low life standards of living in East Africa., on average 80-90% are living in village type houses, even worse., prove me wrong?
View attachment 1693165
View attachment 1693166
View attachment 1693167
Look at some places in Dar..,na ni sehemu kubwa kubwa ju ya your big population sprawled all over..,
View attachment 1693168
Ndo hiyo mzungushwe eastlands yote nataka munionyeshe wapi slums mingi unasema ziko
prove me wrong, I know your country, present status sio historia., challenge me bro.,takwimu zako ndio zinanipa kicheko
Mbona unasema sijui Nairobi? Hizo ni slums za buruburu 🙂Bro Nairobi naifahamu Sana nimefanya kazi na NGOS kibao zinazo shungulikia na kusikiliza Kero za Wana slums nakuwapa solutions wakati mwingine ni vizuri kukubali sio poa kubisha kila kitu najua unaipenda country yako Sana lakini kuna mambo mengi ambayo hayako sawa kama vile Sisi hapa tuna mapungufu yetu vile vile lakin kwetu matatizo ya slums hakuna🙂🙂Huko sikujui
Okeyprove me wrong, I know your country, present status sio historia., challenge me bro.,
Sisi tumepost eastlands pia nyinyi post the low income areas we compare both the houses and infrastructuresPark land pia pembeni kdg slums![]()
Wewe kweli mzito kuelewa ulicho andika na nilivyokujibu nimetoa sababu kwanini Dar population ni ndogo kuliko uhalisia sasa unashindwa nini kuelewa? Majibu yangu yako very plain hata mtoto wa primary angeelewa.Tunaongea kuhusu population between Dar and Nairobi wewe usharuka hadi unamention mikoa mengine. Hata jumbo rahisi kama kufuatilia hoja ni tatizo kwenu!!
Mbona unadanganya watu kwamba most of Nairobi ni slums? Lengo lako ni nini? Hatujakataa kwamba slums zipo lakini kwa nini unadanganya watu kwamba most of Nairobi ni slums?Mbona unasema sijui Nairobi? Hizo ni slums za buruburu 🙂Bro Nairobi naifahamu Sana nimefanya kazi na NGOS kibao zinazo shungulikia na kusikiliza Kero za Wana slums nakuwapa solutions wakati mwingine ni vizuri kukubali sio poa kubisha kila kitu najua unaipenda country yako Sana lakini kuna mambo mengi ambayo hayako sawa kama vile Sisi hapa tuna mapungufu yetu vile vile lakin kwetu matatizo ya slums hakuna🙂🙂
Tatizo la slum hakuna lakini most houses are in pathetic standards it's like a big villageMbona unasema sijui Nairobi? Hizo ni slums za buruburu 🙂Bro Nairobi naifahamu Sana nimefanya kazi na NGOS kibao zinazo shungulikia na kusikiliza Kero za Wana slums nakuwapa solutions wakati mwingine ni vizuri kukubali sio poa kubisha kila kitu najua unaipenda country yako Sana lakini kuna mambo mengi ambayo hayako sawa kama vile Sisi hapa tuna mapungufu yetu vile vile lakin kwetu matatizo ya slums hakuna🙂🙂
Makazi yetu ni hayo na zenu ni hiziyaani kila siku makazi yenu ni hayo hayo tu no new it means nairobi kuna vijumba hivyo pekeemnatoshaje humo angali mpo watu zaidi ya million nne hapo nairobi
?
I know the current status of both Nairobi and Dar., tuanze na ipi?if you are aware of the current status Are you aware of NMS????? Do you know what it is doing to nairobi?
Huo ni ukweli Nairobi is World capital of slums! Unabisha nalo hilo?Mbona unadanganya watu kwamba most of Nairobi ni slums? Lengo lako ni nini? Hatujakataa kwamba slums zipo lakini kwa nini unadanganya watu kwamba most of Nairobi ni slums?
THE "MIGHTY" KIBERA DEMYSTIFIED., kimbilio la watani.,
Dar es salaam is worse than a village kwa wingi!! heri kuishi mashambani., 80-90% ya sq km ni ushuzi(their saying) mtupu!!Makazi yetu ni hayo na zenu ni hizi
View attachment 1693180View attachment 1693181View attachment 1693183View attachment 1693184View attachment 1693185View attachment 1693187
Alafu huoni haya wala kushtuka 😂
Watz wengi hatukai kwenye apartments ila tunamiliki houses na hapo Tandale ziko nyingi tuu.Tandale kuna apartments? Maana Kariobangi ujuwe kuna apartments nyingi. Usikute Tandale ni nyumba za mabati tu.