Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo ichoboy01 ni fala. Nimeshamuambia kuwa kwa sababu Nairobi (tusipoinclude Nairobi metro) ni ndogo kieneo kushinda Dar, inabidi tujenge kuelekea juu ndio maana most Nairobians wanaishi kwenye apartments na yeye hataki kusikia.

Cc Nicxie
Sisi tunaongelea city area mzee 🤣🤣🤣 na hata alipotoa mfano wa newyork alitolea mfano wa city area with population
 
Hii sio apartment mzee. Wacha ushamba.
So kuishi kwenye appartments za kupamga au kumiliki nyumba yako binafsi yupi mwenye akili 🤣🤣🤣 hvi nyinyi mbona muna mawazo ya kitumwa na world bank wanakwambia dar is ahead of nairobi by 3b usd in real estate
 
Which slums kenya has better houses than tanzania kazi yenyu porojo tu hamna facts na vile hata kama si slum nyumba zenyu mbovu most of them
Hiyo sio sababu Tz watu wako spread kwenye mikoa mingine ambayo ina facilities kama za Dar unlike Kenya maendeleo yote yamekuwa concentrated Nairobi so people have to flock in na wala sio issue ya apartment majority ya mid and low income Kenyans live in slums.
 
So kuishi kwenye appartments za kupamga au kumiliki nyumba yako binafsi yupi mwenye akili 🤣🤣🤣 hvi nyinyi mbona muna mawazo ya kitumwa na world bank wanakwambia dar is ahead of nairobi by 3b usd in real estate
That was 4years ago hiyo ilikua report ya 2017 na it was due to slow in growth time ya election angalia report ya sahii
 
Neno real Estate ni tofauti kidogo na neno apartments kwa kiasi fulani maana real estate includes apartments plus other types of properties. All apartments are real estate but not all real estate are apartments. Neno real estate kwa lugha ya yakhe kama wewe inamaana la jengo. Kwa hivyo inaweza kuinclude office buildings, malls, residential apartments na hata bungalows na mansions zote ni real estate lakini sisi tunazungumza kuhusu apartments pekee. Nyinyi inaweza kuwa kwamba mna bungalows nyingi maana kila mtu amepewa kiwanja chake na CCM cha kupandia mboga na kufugia kuku na ng'ombe. Yaani mna nyumba ambazo sio za ghorofa nyingi kushinda Nairobi.
Angalia unavojichanganya sasa 🤣🤣🤣🤣
 
Wewe nimekuambia huijui Nairobi. Eti buruburu nyuma kuna slum? Taja jina ya hio slum na uweke picha ya hio slum. Huku tutakukimbiza mchakamchaka ukileta propaganda zenu za vijiweni.
Uhuru settlements utaita estate?
Mimi zamani kidogo kabla ya mambo yangu ya kifedha kubadilika nilikuwa naishi Umoja 1. Sasa unasema kwamba Umoja ni slum? Kichwa chako ni kizuri kweli wewe? Kama Nairobi ni slum mbona kuna Watanzania wengi wanaoishi Nairobi? Kwa mfano wakati bado nilikuwa naishi Umoja, nilikutana na Watanzania wengi sana pamoja na Waganda na Warundi. Cha kushangaza ni kwamba wote wanafanya biashara ndogo ndogo. Kuna Mtanzania msichana alikuwa waiter kwenye hoteli ambayo nilikuwa napenda kula na aliniambia kwamba anatokea Mwanza. Kuna Mtanzania mwingine ambaye alikuwa anauza kwenye duka, huyo naye aliniambia anatokea Tanga. Kuna Watanzania wengi walikuwa wanauza nguo mahali panapoitwa Mtindwa, nadhani unapafahamu. Sasa kama Nairobi ni slum mbona mumejazana humu mkifanya biashara ndogo ndogo haswa ya kuuza mitumba? Hadi MP Jaguar aliposema Watanzania wanaouza mitumba Nairobi waondolewe mkapiga makelele hadi serikali yenu ikaanza kutoa vitisho? Nakumbuka hata bunge lenu lilijadili hili swala na kutishia Kenya kwamba tusiwafukuze Watanzania wauza mitumba? Mnafanya nini huku kama huku ni slum tupu? Mnatafuta nini Nairobi? Mbona msibaki huko kwenu ambako hakuna slum?
Bro pitia kwene statement yangu tenašŸ™‚ umoja sio slum nimekaa pale Sana ni sehemu imechangamka Sana kuna foreigners wengi Sana.kama sehemu ni nzuri nasema TušŸ™‚
 
Wewe nimekuambia huijui Nairobi. Eti buruburu nyuma kuna slum? Taja jina ya hio slum na uweke picha ya hio slum. Huku tutakukimbiza mchakamchaka ukileta propaganda zenu za vijiweni.
City cotton na kiambio ziko wapi?
 
Hio 20% percent umeitoa kisogoni mwako au wapi? Hapa Nairobi kuna apartments hata za ksh 5,000 za single room na zina maji. Kwa hivyo hata mahustlers wanaweza kuafford kuishi kwa apartment. Wale wanaoishi kwa slum ni wale masikini kabisa ambao hawawezi kuafford hata hio ksh 5,000 kwa mwezi. Inabidi waishi kwenye nyumba za mabati wanazolipia maybe ksh 2,000 kwa mwezi.
 
Still on eastlands where most nairobians live apartments that's south b
 
Tunaongea kuhusu population between Dar and Nairobi wewe usharuka hadi unamention mikoa mengine. Hata jumbo rahisi kama kufuatilia hoja ni tatizo kwenu!!
Simple math haya kataa sasašŸ¤£šŸ¤£šŸ‘‡šŸ‘‡
71D1AD17-F66B-4F26-BEF9-AB3AE72D1D4E.jpeg
 
Mfano runda beautiful and one of expensive suburbs nyuma slum[emoji846]
Kitisuru nyuma slums[emoji846]
Hurlingam nyuma slum[emoji846]
Thome estate nyuma slum[emoji846]
Karen kuna slum[emoji846]
Buruburu nyuma slum[emoji846]
Etc etc
Park land pia pembeni kdg slums [emoji2][emoji2]
 
Nkt! Be serious those are schools connected one thing am sure tanzania has not done and in terms of internet dont argue dont forget we have the third best internet in africa where you cant compare doent hurt to coincide hatu judge and you well know the north of kenya is a semi arid area so alot was not happening there till recently after we adopted the devolution means of governance where kila county is given there own governor and budget

jaman huyu hapa kaongea nn?

it’s like anasema ā€˜nilienda jikon kuepua mboga nikakuta uhuru kenyata anahutubia mkutano wakati anakamua maziwa ya ng’ombe huku ndege ya makamu rais imeanguka nairobi bila makam rais mwenyewe kuwepo ambapo polisi walikuwa wanakamata wezi wa kuku mtaan kisumu’

jamaa haeleweki anatoa point gan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo hiyo mzungushwe eastlands yote nataka munionyeshe wapi slums mingi unasema ziko
 
Hakuna apartment hata moja kwenye hio picha. Unatuonyesha office block badala ya apartment. Ona huyu wazimu.

Cc Nicxie komora096
Si unajua siku ya nyani kufa kila mti huteleza? Mimi niliona hiyo picha yake nikacheka tu. Ukiona wanaonyesha office block as an apartment, ujue hawana lolote hawa vilaza. Wanaforce kitu hawana ndio angalau wanaonekane wako afadhali. Imagine we started posting picha za apartments Nairobi. I can have a field day here coz I'll be spoilt for choices
 
Back
Top Bottom