The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Nyie mnazaana km ngedere, huoni Kenya ni mara mbili ya Tz na tumewazd only 6ml?Hivyo ndivyo akili za mgando hureason. Anafaa ajiulize ni kwa nini Nairobi ni ndogo kieneo lakini imebeba watu million nne wakati Dar ina ukubwa mara mbili ya Nairobi but has only five million people. The answer is self-explanatory: Most people in Nairobi live in apartments that can accommodate more people. Sasa kama Dar inazidi Nairobi na apartments, iweje inashinda Nairobi with only one million people despite of its size?
Ama apartments zao ni hizi hapa![]()
![]()
View attachment 1692930View attachment 1692932View attachment 1692933View attachment 1692934View attachment 1692935



