Wewe bongolala kazi yako ni kulialia tu kama mbwa koko. Tukileta picha za the greener sides of Nairobi, unakerwa na kusema Nairobi ni misitu tu na kwamba haijajengeka. Tukiletaa sehemu ziko na density ya juu unaanza kulalama eti kazi ni kuleta tu apartments. Sasa unataka tulete picha za dreamhouses wakati sisi hatuna huo mfumo? [emoji23]
Tuletee hizo apartments zenu tuone. Not just selected buildings. Tuletee picha Kama hizi hapa chini of different places in Dar
View attachment 1692606View attachment 1692608View attachment 1692611