Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,922
- 103,791
CC: Tony254 don't hate those facts!mwaka huu
- Tunasafiri kwa treni ya umeme
Dar-Moro
- Rural Electrification itakuwa
- Selander bridge
you can add more:![]()
CC: Tony254 don't hate those facts!mwaka huu
- Tunasafiri kwa treni ya umeme
Dar-Moro
- Rural Electrification itakuwa
- Selander bridge
you can add more:![]()
Sisi tuna jeshi imara sisi nye nye nye 👇👇
hawa jamaa nao wako![]()
Tangu lini Tanzania mkatushinda kwa kupanda michai?Hata kwenye Chai hawatuzidi, issue ni kwamba Kenya ndio auction market ya Chai karibu yote ya ukanda huu inaenda kuuzwa Mombasa so ni takwimu za Chai za mataifa mengine pia zinajumlishwa kama zote za Kenya
Geza Ulole ulipinga hii comment na saa hii ina 14 likes za Watanzania wenzako? 🖕Zamani kidogo Nilipokuwa nafanya research yangu fulani niligundua kwamba jambo moja inayofanya nchi za ulaya kuwa na matumizi makubwa ya umeme ni kwa ajili ya heating during winter. Wanatumia heated gas ila pia wanatumia airconditioning systems na systems zingine zinatumia umeme. Halafu wakati wa summer nao wanatumia cooling systems ambazo nazo zinanyonya umeme kama maji. Kwanza uarabuni wanatumia airconditioning systems sana na hio inanyonya umeme kwa wingi. Sasa Africa tumebarikiwa na climate nzuri, hakuna baridi kali sana ya kufanya mtu ahitaji heating system na hakuna joto kali ya kumfanya mtu anunue cooling system. Good climate imechangia Sub saharan Africa kutotumia umeme kwa wingi. Kuna statistic moja nakumbuka nilisoma kwamba wakati wa summer huko California, kuna wakati 30-40% ya electricity consumption ni kwa sababu ya cooling the houses through air conditioning systems. So usione ulaya wanatumia umeme mwingi ukadhani kwamba umeme huo wote unatumika kwa sababu ya kuendesha mitambo na mashine ya viwanda, la hasha, 20% to 40% ya umeme huo unaenda kuheat au kucool their houses. Na hapa Africa hatuna haja ya kuheat au kucool our houses because of the perfect climate ambayo tumebarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu.
Sisi tuna jeshi imara sisi nye nye nye 👇👇
Uchambuzi



(Jokes)Nikuulize Kwann Nchi nzima ya Rwanda Ina 100mgw?Hahaha. Tafsiri yake ni kwamba Dodoma ni ndogo sana kuitwa mji. Dodoma inastahili kuitwa kijiji. Yaani capital city inatumia 36 MW?
Tanzania Hii?
ndo mlichokuwa mnadai humu ndani!Ulikuwa unataka tujenge concrete wall?
Mbn unamuonesha kidole cha kati ss, kwn kuna ugomvi?Geza Ulole ulipinga hii comment na saa hii ina 14 likes za Watanzania wenzako?![]()


Duh! Africa bado sana. Eti Rwanda nzima ni 100 MW? Mungu atuokoeNikuulize Kwann Nchi nzima ya Rwanda Ina 100mgw?
Mbona mnatumia dollar sign ($) badala ya TZ shs? Tangu lini soda ikawa $ 1,000?
Mbona mnatumia dollar sign ($) badala ya TZ shs? Tangu lini soda ikawa $ 1,000?
Wengine hapa ni Kelele tu kila kuchao, wanashinda mchana kutwa jf wakilia ohhh electric sgr ohhh bullet train ilhali wameshindwa kukamiliza ujenzi wa sgr yao
Meanwhile three years ago Kenya started the first double stack rail cargo transport in East Africa


afu mmespeediisha video ili ionekane inakimbia haraka kumbe ni mwendo wa kinyongaUmekasirikaYaani mkenya anamfundisha mtanzania kupanda miti? The dumbest joke I have ever heard in my entire life lol
Nairobi nzima ni slums 😂 😂Hahahahahaaaa km Mombasa kwahiyo sio Kenya au sio, alafu kuhusu sehemu mbovu za Nairobi za kushindanisha na Dar ni kwamba Nairobi nzima ni slums everywhere ss unataka nifanyaje?![]()
![]()
![]()