Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

At times, I do think that they only compare Dar with Kibera. Wametafuta kitu cha kulinganisha na Dar from Nairobi wakakosa and the closest they found is Kibera
Kwani kibera iko alone na zile slums zingine munamuachia nani au mumezipeleka jahannam tayar🤣🤣🤣🤣
 
Dar vs nairobi slums[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dar kinara
Ni simple math

chukua eneo la 1600kq ukigawa kwa watu 6m utapata jibu kwann watu wanamiliki nyumba na ardhi kwa wepesi

then

chukua eneo la 596km toa nairobi national park area anbayo ni 117km sq
View attachment 1692774
Utapata 479km sq igawe kwa population ya watu million 5 alaf utapata jibu kwann watu wanaishia kwenye mabanda ya nguruwe

very simple 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dar vs nairobi slums
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

Dar kinara
Just simple math hata haitaki ramli ndio mutajua kwann muna slums ambazo hata nguruwe hawezi kuishi 🤣🤣👇👇👇

Ni simple math

chukua eneo la 1600kq ukigawa kwa watu 6m utapata jibu kwann watu wanamiliki nyumba na ardhi kwa wepesi

then

chukua eneo la 596km toa nairobi national park area anbayo ni 117km sq
2D8A6FAB-1E01-4FE2-B52D-9A6CDA69ABC6.jpeg

Utapata 479km sq igawe kwa population ya watu million 5 alaf utapata jibu kwann watu wanaishia kwenye mabanda ya nguruwe

very simple 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa density gani mlionayo zaidi ya misitu manake density hazionekani au invisible [emoji1787][emoji1787] so unataka leo kujidanganya nairobi ina magorofa mengi kuliko dar?? Hebu leo nijibu hili swali
Nairobi imejaa appartments kibao sana[emoji1787][emoji1787]
We naona unaongelea uoumbavu tu, nairobi hakuna nyumba za chini km vile zilivyojaa dar..
 
Just simple math hata haitaki ramli ndio mutajua kwann muna slums ambazo hata nguruwe hawezi kuishi [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]

Ni simple math

chukua eneo la 1600kq ukigawa kwa watu 6m utapata jibu kwann watu wanamiliki nyumba na ardhi kwa wepesi

then

chukua eneo la 596km toa nairobi national park area anbayo ni 117km sq
2D8A6FAB-1E01-4FE2-B52D-9A6CDA69ABC6.jpeg

Utapata 479km sq igawe kwa population ya watu million 5 alaf utapata jibu kwann watu wanaishia kwenye mabanda ya nguruwe

very simple [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fanya kw new york city[emoji1787][emoji1787]
 
Nairobi imejaa appartments kibao sana[emoji1787][emoji1787]
We naona unaongelea uoumbavu tu, nairobi hakuna nyumba za chini km vile zilivyojaa dar..
🤣🤣🤣🤣🤣 kwa denaity gani, concrete jungle gani??? Hebu leo tudanganye ndio maana akili yako imebaki kufananisha newyork na nairobi au

au world bank pia walidanganya 🤣🤣👇
 
Jamaa anataka kutudanganya eti eneo la 1600km² limejaa appartments kibao[emoji1787][emoji1787]
Tony254 njoo huku umfunze huyu mwehu, eti eneo la 1600km² lijae appartments alafu population isifike milioni kumi
 
Jamaa anataka kutudanganya eti eneo la 1600km² limejaa appartments kibao
emoji1787.png
emoji1787.png

Tony254 njoo huku umfunze huyu mwehu, eti eneo la 1600km² lijae appartments alafu population isifike milioni kumi
Kwanza sikia alivokubali huyo mwenzako 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇
Most Nairobians wanaishi kwenye apartments. Wacha ujinga na roho mbaya. Analysis yako ya population density ni nzuri lakini conclusion kwamba most Nairobians wanaishi kwenye mabanda ni uongo
 
[emoji3][emoji3]basi leo hulali.

kwani hujawahi ona uzi umefunguliwa humu wa kulalamikia ujenzi holela wa makazi dsm???

mind you ni ujenzi,sio uwekaji wa mabati.
Nishaiona ila sijawahi comment huko for various reasons. Uwekaji wa mabati ziko mitaa za mabanda huku Nairobi wala hakuna anayepinga hili. The only interesting thing is that some of the areas you (Tanzanians) call slums have 90% apartment buildings (brick and mortar) and in a very organized manner. A case example is Kariobangi
Screenshot_20200605-010902~2.png
Screenshot_20200605-010913~2.png
Screenshot_20200605-010534~2.png

All along Tanzanians have maintained that a place can only be called a slum if it has nyumba za mabati and you've even confirmed this in your response above. Now tell me, kama Kariobangi where 90% of the houses are apartment buildings is still a slum, then what exactly is a slum according to Tanzanians?
 
Jamaa anataka kutudanganya eti eneo la 1600km² limejaa appartments kibao[emoji1787][emoji1787]
Tony254 njoo huku umfunze huyu mwehu, eti eneo la 1600km² lijae appartments alafu population isifike milioni kumi
Tony254 Nicxie alafu nairobi ya 500km² iwe na appartments less kuliko dar alafu population ya dar mara tatu ya nai iwe juu na milioni tu[emoji1787][emoji1787]
Wazee wa density wana tabu sana
 
Jamaa anataka kutudanganya eti eneo la 1600km² limejaa appartments kibao[emoji1787][emoji1787]
Tony254 njoo huku umfunze huyu mwehu, eti eneo la 1600km² lijae appartments alafu population isifike milioni kumi
Tony254 Nicxie alafu nairobi ya 500km² iwe na appartments less kuliko dar alafu population ya dar mara tatu ya nai iwe juu na milioni tu[emoji1787][emoji1787]
Wazee wa density wana tabu sana
 
Nishaiona ila sijawahi comment huko for various reasons. Uwekaji wa mabati ziko mitaa za mabanda huku Nairobi wala hakuna anayepinga hili. The only interesting thing is that some of the areas you (Tanzanians) call slums have 90% apartment buildings (brick and mortar) and in a very organized manner. A case example is Kariobangi
View attachment 1692898View attachment 1692903View attachment 1692904

All along Tanzanians have maintained that a place can only be called a slum if it has nyumba za mabati and you've even confirmed this in your response above. Now tell me, kama Kariobangi where 90% of the houses are apartment buildings is still a slum, then what exactly is a slum according to Tanzanians?
Na hii ukiambiwa ni part of magomeni unakasirika kwann sasa🤣🤣🤣👇👇👇👇
FF2C63D2-BAA1-4C0B-9738-18C03AD14B6D.jpeg
EDFC07F7-99F0-4080-AB9F-FF92067CB1D6.jpeg
14888793-0AE8-425B-8559-A8D85B5E5E8D.jpeg
79A578D2-8043-4C34-B93E-15ED5DF3D725.jpeg
BD821D00-B09F-4520-9DA4-61914B34F0EB.jpeg
1ABAA093-3CA1-4FFF-955D-D1F2D373F351.jpeg
1CC3CDF4-E425-4F29-BC90-66454DFC02CC.jpeg
7DACA6D3-688C-4B7B-B340-3FCBB00141C3.jpeg
105FB58F-230C-4BAD-AC82-DF54392C896C.jpeg
A5261F35-C6FA-40A3-A0B5-A7BEC0C561DB.jpeg
 
Kibera huwa ni kitulizo cha maumivu kwao. Kila wanapogusiwa hoja na wakose jibu, wote wanakimbia hadi kibera kama nyumbu angalau kujifariji [emoji23] [emoji23] Huwa nabaki nikicheka most of the time
Kwahiyo slums Kenya zipo only in Kibera [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tony254 Nicxie alafu nairobi ya 500km² iwe na appartments less kuliko dar alafu population ya dar mara tatu ya nai iwe juu na milioni tu[emoji1787][emoji1787]
Wazee wa density wana tabu sana
Tony254 Nicxie alafu nairobi ya 500km² iwe na appartments less kuliko dar alafu population ya dar mara tatu ya nai iwe juu na milioni tu[emoji1787][emoji1787]
Wazee wa density wana tabu sana
Sijapata jibu nasubiria🤣🤣👇👇👇👇
Fananisha na ile misitu humu 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom