Hebu chunguza nyumbani kwako. Unajua katika vifaa vyote ambavyo unamiliki nyumbani, vifaa vinavyonyonya umeme kama uji ni vile vinavyoheat jambo fulani. Kwa mfano kuna heater ya maji ambayo huwa inakula umeme bila mchezo. Hata kale kaheater kadogo ambako unatumbukiza ndani ya jug ya maji pia kana around 1,000 watts. Pasi nayo inatumia hata 2,000 watts kulingana na pasi unayotumia. So unaweza kuimagine mashine ambayo inacool hewa iliyo ndani ya nyumba yako wakati wa joto hadi hewa hiyo iwe cool itatumia watts ngapi?
Tazama hapa watts za airconditioning system ya nyumba moja halafu multiply na millions of houses in a city.
View attachment 1691868