Leo nilikuwa mawasiliano, nikasema ngoja niende zangu ubungo kidgo kumtumia dogo mzigo, nikapata wazo ngoja niende na miguu, ile mitaa sijapita muda, meter 20 mbele Baada ya kutoka stend ya mawasiliano nikaona watu wanakata Kona kushoto kwa miguu, ikabd niulize hii njia inaenda wapi?, nikajibiwa hii njia unatokea ubungo hapo
Si ndo nikapita na mimi, kumbe ile njia inapita mto sinza pale na ni concrete mwanzo mwisho, ajabu ile njia wamejenga na brt road na washaandaa kabsa ile concrete structure ya stendi ya brt, nikajiuliza hii Ni phase gani Tena?
Ubungo mule ndani washaanza kubomoa, nikauliza wadau humu wanabomoa wanataka kujenga nini, wakaniambia wanataka kujenga supermarket kubwa sana pale
Note: Kuna mizigo saiv inaenda kimya kimya, majirani jiandaeni