Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa anashangaa kuona shemu pamepandwa miti mingi tena ya sampuli moja wala sio vichaka na mikoko
Umesahau lile jiji lao limejaa midreamhoyses kila kona? Huko greenspaces ni Kama mbingu na ardhi.
 
Ccm anaposhindwa na hoja, hukimbilia matusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akina uringa sio[emoji1787][emoji1787]
Ukiona mtu ni mwepesi wa kutema matusi bila sababu, ujue ako na matatizo ya kiakili. Such people suffer from inferiority complex and emotional imbalances. His mind and heart are constantly at war with each other. Huenda ni anxiety or depression inamsumbua. He's having a hard time controlling his emotions meaning he needs to learn new coping strategies
 
1612180534031.png


1612180896255.png


1612181049043.png
 
Mpango huo upo na najua upo na vinajengwa i just said nguvu iongezeke ili hyo miradi ikamilike (lrt na brts) mapema na sio kuifanya pole pole na hela inaenda kujenga plants

maana project tulizo nazo zitazalisha 2400mw lets say zote zikiwa zimeisaha by 2025 hyo power inaweza kutusukma hata by 5 years na bado tukauza ndo tuanze kujenga hizo 560mw .Geza what will change rapidly over next 5 yrs itachofanya to consume 2400mw zote ? Hapo tutakuwa tuna 4000mw lets say migodi 5 na refinery tano na SGR zitumie 1500mw tutakuwa na surplus ya 1GW
Kumbuka pia kuna migodi inatumia umeme wa mafuta ndio imeanza kuunganishwa kwenye gridi.
Kuna baadhi ya mikoa haijaunganishwa kwenye gridi, miradi mikubwa kama bandari zanzibar, dodoma aiport, nk
 
Mkuu nafikiri njia rahisi ni hii, kama huna Acc YouTube fungua then zirushe kule inakuwa rahisi kuzileta hapa from YouTube

mhh huko mbali sana.. nje ya jf huwa sipost sana vitu kwenye social media.. kuna mdau kasema nijaribu kutumia browser. nitajaribu,
 
Kwa hivyo JPM anatunyuka na 1,177 MW? Hahaha

Nairobi pekee inatumia megawatts ngap za umeme?? Au ukishindwa hilo je kwa kukadiria pale Airport ya Jomo inatumia umeme kiasi gani?? Na kuuliza aya maswali kwakuwa nimesoma comments zako naona kama hauna uelewa kwenye swala la umeme inaonekana haujui hata capacity ya megawatts.
 
Nairobi pekee inatumia megawatts ngap za umeme?? Au ukishindwa hilo je kwa kukadiria pale Airport ya Jomo inatumia umeme kiasi gani?? Na kuuliza aya maswali kwakuwa nimesoma comments zako naona kama hauna uelewa kwenye swala la umeme inaonekana haujui hata capacity ya megawatts.
Ninajua capacity ya megawatt. Megawatt ni 1,000,000 watts. 1 Megawatt inaweza kuwasha bulbs za 50 watts 20,000. Au inaweza kuwasha TV za 200 watts 5,000.
 
Back
Top Bottom