Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ila wewe jamaa aina yako ya kufikiri inafikirisha sana.

tangu lini umeme ukatosha kwenye nchi zinazoendelea???

SA wanazalisha MW 45000 na bado wanakata kata umeme,unapata picha gani ukisoma hapo???
Inafikirisha hao jamaa wanamaviwanda makubwa kiasi gani Huo umeme na usitoshe...Yani tukichanganya kenya Tanzania na Uganda Burundi na Rwanda wala hatumalizi 5000MW hivi tupo serious kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]are we normal[emoji2][emoji2]
 
ndio tunatakiwa kujitafakari,pale tunapowaza 2000mw ni nyingi.

wale jamaa wana migodi kama sisi,ukiachia mbali ukubwa wa migodi hii nchi inakua,mahitaji ya umeme yanakua kila siku.
 
ila wewe jamaa aina yako ya kufikiri inafikirisha sana.

tangu lini umeme ukatosha kwenye nchi zinazoendelea???

SA wanazalisha MW 45000 na bado wanakata kata umeme,unapata picha gani ukisoma hapo???
SA ina viwanda vingi kushinda nchi zote Afrika. SA is highly industrialized na ndio maana industries zao zina demand kubwa ya umeme. Halafu SA ndio nchi yenye the biggest mining companies in Africa. Hizi mining companies zinanyonya umeme kama maji. Wana big vehicle assembling plants zinazonyonya umeme kama maji. Wana cities kubwa zinazo consume alot of power per capita. Mtu mmoja anayeishi SA anacomsume more power than mtu mmoja wa Tanzania au Kenya.
 
sasa point yako ni ipi kuita kinu cha uzalishaji umeme ni white elephant??

au nyinyi ndoto zenu si kukua kiviwanda!!sisi ndoto zetu ni kukua kama au kukaribia SA kwa miongo ya karibuni.

SA wana 45000MW,ukilinganisha na sisi EA ni mbingu na shimo,yaani ili hoja yako iwe na mashiko ilifaa walau tuwe na 25000MW ndipo unheongea hivi.
 
Inafikirisha hao jamaa wanamaviwanda makubwa kiasi gani Huo umeme na usitoshe...Yani tukichanganya kenya Tanzania na Uganda Burundi na Rwanda wala hatumalizi 5000MW hivi tupo serious kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]are we normal[emoji2][emoji2]
Sub saharan Africa ukitoa SA inaconsume pengine 15,000 Megawatts (hata hio nahisi ni nyingi maana sub-saharan Africa tumezembea sana ukitoa SA). Ukiongeza nchi za waarabu bado hatufikii SA. SA wako mbele ndio maana namshangaa mkorinto akijaribu kulinganisha Tanzania ya 1,177 MW na SA ya zaidi ya 45,000 MW ambayo ni deficit yaani wanahitaji zaidi ya hio.
 
SA ina viwanda vingi kushinda nchi zote Afrika. SA is highly industrialized na ndio maana industries zao zina demand kubwa ya umeme. Halafu SA ndio nchi yenye the biggest mining companies in Africa. Hizi mining companies zinanyonya umeme kama maji. Wana big vehicle assembling plants zinazonyonya umeme kama maji. Wana cities kubwa zinazo consume alot of power per capita. Mtu mmoja anayeishi SA anacomsume more power than mtu mmoja wa Tanzania au Kenya.
Hatuwezi tukalala tukasubiri miaka 30 ndio tuanze kujenga bwana, tunafanya kitu for now and future...

Dunia inahamia Africa baada ya East Asia. It will be more economical to invest in Africa kuliko East Asia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa point yako ni ipi kuita kinu cha uzalishaji umeme ni white elephant??

au nyinyi ndoto zenu si kukua kiviwanda!!sisi ndoto zetu ni kukua kama au kukaribia SA kwa miongo ya karibuni.

SA wana 45000MW,ukilinganisha na sisi EA ni mbingu na shimo,yaani ili hoja yako iwe na mashiko ilifaa walau tuwe na 25000MW ndipo unheongea hivi.
Kwa hivyo mumeamua kujenga viwanda vikae idle? Unajua cost ya kujenga kitu kisha ukose kuitumia? Kuna fixed costs ambazo lazima ulipe whether kiwanda kinatumika au kiko idle. Kuna depreciation charge ambayo lazima ugharamikie kila mwaka whether unatumia kiwanda au la. Anyway jengeni maana ni pesa yenu. Halafu nawaombea mpate customers wa kutosha. Wacha mjadala uishe.
 
Kwa hivyo mumeamua kujenga viwanda vikae idle? Unajua cost ya kujenga kitu kisha ukose kuitumia? Kuna fixed costs ambazo lazima ulipe whether unatumia kiwanda idle au la. Kuna depreciation charge ambayo lazima ugharamikie kila mwaka whether unatumia kiwanda au la. Anyway jengeni maana ni pesa yenu. Halafu nawaombea mpate customers wa kutosha. Wacha mjadala uishe.
sisi tunajenga kinu cha umeme na ndio mjadala uliopo hapa,viwanda navyo vinakuja.

kuhusu wateja,usijali maana kwanza tunaongoza kwa pop hapa EA kabla tufikirie masoko ya nje huko.
 
Nakumbuka hii maneno niliwacharura sanaa! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji3516]
Hilo bridge la bn 1.5 ss duuhh hehehehee Kenya ni vichekesho kwakweli.

Yani ni sawa na Tz sh bn 23, watanzania oneni bridge ya bn 23, hawa watu wana laana ya mababu hawa[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
JamiiForums1767040064.jpg
 
Boss yaani unasema kwamba mtazima mitambo za Kinyerezj 1 na 2 hata kabla ya kurecoup investment mliyoweka kwenye miradi hiyo? Mkizima mitambo za Kinyerezi 1 na 2 kabla ya kurudisha pesa ambayo mliweka ndani ya miradi hiyo basi mtakuwa mumepata loss kubwa. Watu ambao wamesomea uchumi na biashara watanielewa. Hamuwezi kamwe kuzima mitambo za Kinyerezi 1 na 2 kabla ya kurecoup au kurudisha pesa ambayo mlimwaga huko ndani. Mkifanya ujinga kama huo mtatengeneza losses kubwa sana. Yaani mitambo ya Kinyerezi 1 na 2 ziwe idle na kuoza na kupata kutu ilhali bado hamjarecover ile investment mliyonwaga ndani? Halafu ujuwe mitambo whether zinafanya kazi au zipo idle huwa zinadepreciate in value. So wewe jua tu kwamba hata mkizima mitambo za Kinyerezi 1 na 2 ili kutumia hydropower ambayo ni cheaper kwamba lazima mtadepreciate value of assets na kila mwaka value ya hizo mitambo itapungua whether mnazitumia au la. In accounting, unaponunua gari mpya halafu uitumie kwa mwaka mmoja tu halafu uiweke kando kwa miaka mitano bado value ya gari yako itapungua whether unaitumia au la na loss itakuwa kubwa maana umenunua asset na huitumii na value yake inapungua kila mwaka. Kwa hivyo mkizima mitambo ya Kinyerezi kabla hamjarudisha pesa ambayo mlitumia basi lazima mtapata losses.

Kama umesoma power production kuna base load na peak load..peak load huwa inaongezeka pale watu wanarud majumbani kuanzia jion hadi usiku saa sita labda .. so kinyerezi plant hasa kinyerezi 1 ambayo ni simple cycle inaweza kuwa inatumika kama peak load ..

Anyways sijui tanesco watachofanya ilimradi wawe profitable ...to start with tumeshaacha kununua umeme ka inependendt power producers

Umeelezea vizuri kuhusu mitambo ku depreciate so most likely itaendelea kutumika kma peak vs base load

Na pia inabidi ujue TpDC wana supply most industries in Dar and Pwani so our consumption of power might even be 1800mw ukiunga TPDC and. tanesco
 
Nmejifunza apo kua hatuko serious tu

Unavyozidi kufanya umeme uwe cheap una encourage consumers pia kununua appliance za umeme mkubwa

Umeme ukifika tsh 36 kwa unit
Watu watanumua Washing machines,Dishwashers ,A/c na Electric cookers cause they can afford to pay bills so tunavyojenga plants nying na kushusha bei tuna stimulate sisi wenyewe kuutumia huu
 
Kama umesoma power production kuna base load na peak load..peak load huwa inaongezeka pale watu wanarud majumbani kuanzia jion hadi usiku saa sita labda .. so kinyerezi plant hasa kinyerezi 1 ambayo ni simple cycle inaweza kuwa inatumika kama peak load ..

Anyways sijui tanesco watachofanya ilimradi wawe profitable ...to start with tumeshaacha kununua umeme ka inependendt power producers

Umeelezea vizuri kuhusu mitambo ku depreciate so most likely itaendelea kutumika kma peak vs base load

Na pia inabidi ujue TpDC wana supply most industries in Dar and Pwani so our consumption of power might even be 1800mw ukiunga TPDC and. tanesco
Asante. Umeelezea vizuri. Ni sharti muendelee kutumia Kinyerezi power plant hadi mrudishe investment mliyoweka ndani. Hata kama itatumika kama peak load maana hydropower ndio itakuwa base load yenu maana ni cheaper. Anyway ni vizuri tumeelewana hapo kwamba mitambo lazima zirun hadi zirudishe investment iliyomwagwa kule ndani.
 
na utauzika kirahisi! hamna nchi ya kiafrika itanunua umeme wa unit cost Tshs 114 na kuacha wa Tshs 36! halafu kuna mtu anathubutu kuita JNHPP white elephant! Hata Kenya watanunua toka kwetu na Ethiopia japokuwa mradi wa GERD unachelewa sana na una migogoro, a reason naona chance kubwa kwa mradi wa JNHPP! Juzi Rais wa Ethiopia kaja kuomba ushirikiano wa kijeshi, unajua kwann? anajua kitanuka anytime! Nilikuwa nambishia joto la jiwe ila mgogoro wa Tigray umenifumbua macho! lolote lawezekana uko Ethiopia!

CC: joto la jiwe
Cc: joto la jiwe
 
Mkuu kati ya vitu ambavyo soko lake lipo nje nje ni umeme na mafuta, Hata siku moja huwezi kukuta nchi yoyote inatoa taarifa kuwa hakuna surplus ya umeme katika Nchi maana hii itakuwa inafukuza wawekezaji kwenye hiyo nchi hivyo watasema wanasurplus ila ukitokea uwekezaji wowote kinachofuata ni mgao wa umeme kwa wananchi wa kawaida. Hii ilitokea TZ kabla ya ile miradi ya kinyerezi.

Nchi nyingi sana zina uhaba wa uzalishaji wa umeme ili kuvutia wawekezaji lazima waoneshe surplus hyo ndo njia uwa inatumiwa na badala yake kuna kuwa na migao ya umeme. Hakuna Nchi yyte inayoweza kukataa kununua umeme maana wakiangalia wao wanazalisha labda unit moja kwa Cent 40 na kuuza kwa Cent 50 lakin Nchi nyngne inakuuzia unit hyo hyo kwa Cent 20 na wewe utauza unavyotaka ili upate faida zaid unafikir kuna nchi gani inaweza kukataa ndo maana soko la umeme ni fursa ilio nje nje usione south africa na zimbabwe zinauziana umeme hyo ndo reason behind.
Mkuu umeongea point sn, na hii ndiyo inayomfanya Tony254 atambe kwamba wana surplus ya electricity kumbe co kweli na ndiyo maana utakuta umeme kwao ni wa mafungu kumbe Govt inawakatia raia ili kupeleka viwandani, na hii ipo nchi nyingi za kiafrika.

Aisee JPM anaona mbali sn [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Nimekuelewa sana mkuu means
Our focus is on Hydro cause ndo cheapest thts why tunajega JNhPp kisha hio ya Njombe miwili yenye 580mw ..my point was just on timing but anyone can have different views ..lets generate and sell cheap plus a big surplus for us this is also what i want

Cha pili umenipa point ya kwamba labda ndo maana Kuna reports tofauti kati ya surplus na demand am sure Tz demand ni more than 1200mw na iko at 1400mw haiwezekani na mjiengo yote inayoota kama uyoga na viwanda vilivyongezwa in 5yrs hata visivyotumia gas tukwa tume stick at 1177mw
Yah ata mm nmemuelewa sn jamaa.
 
Mkuu umeongea point sn, na hii ndiyo inayomfanya Tony254 atambe kwamba wana surplus ya electricity kumbe co kweli na ndiyo maana utakuta umeme kwao ni wa mafungu kumbe Govt inawakatia raia ili kupeleka viwandani, na hii ipo nchi nyingi za kiafrika.

Aisee JPM anaona mbali sn [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Nani amekudanganya kwamba sisi tunakatiwa stima kwa sababu ya power rationing? Sisi tunakatiwa stima pale tu ambapo Kenya power inataka kufanya repair.
 
Back
Top Bottom