The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Green places au majengo hayaonekani [emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Green places au majengo hayaonekani [emoji1787][emoji1787]
Kumbe zile medias zenu ni uchwara hvo[emoji1787][emoji1787]Leo nataka tukimbizane wakenya mpo?
Youtube tunawakimbiza kama kawa
Kenya Citizen TV Joined 2008 Diamond joined 2011 Millard Ayo 2012. Wakenya mnakwama wapi?
KENYA:
View attachment 1691907
TANZANIA
View attachment 1691908
View attachment 1691909
View attachment 1691910
View attachment 1691911
Wanahamisha ile garage ya brt pale jangwani itahamia hapo ubungo.
Huo wote ni wivu hili pia ni kati ya magonjwa nyemelezi.Hii yote umeandika kwa mbwembwe kwa sababu wanajenga supermarket mpya? Hahaha. Mna vituko sana.
Najua unatamani sana ila mlishafeli kitambo sana na inauma 😂Green places au majengo hayaonekani 🤣🤣
Imajengwa East Africa Commercial and Logistics CenterLeo nilikuwa mawasiliano, nikasema ngoja niende zangu ubungo kidgo kumtumia dogo mzigo, nikapata wazo ngoja niende na miguu, ile mitaa sijapita muda, meter 20 mbele Baada ya kutoka stend ya mawasiliano nikaona watu wanakata Kona kushoto kwa miguu, ikabd niulize hii njia inaenda wapi?, nikajibiwa hii njia unatokea ubungo hapo
Si ndo nikapita na mimi, kumbe ile njia inapita mto sinza pale na ni concrete mwanzo mwisho, ajabu ile njia wamejenga na brt road na washaandaa kabsa ile concrete structure ya stendi ya brt, nikajiuliza hii Ni phase gani Tena?
Ubungo mule ndani washaanza kubomoa, nikauliza wadau humu wanabomoa wanataka kujenga nini, wakaniambia wanataka kujenga supermarket kubwa sana pale
Note: Kuna mizigo saiv inaenda kimya kimya, majirani jiandaeni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huo wote ni wivu hili pia ni kati ya magonjwa nyemelezi.
Hao jamaa uwa wanajidanganya sana,hiyo map wataikataa kwa jinsi kwao kulivuofifia!Weka neno kdg hapa usijifanye hujaona[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1691821View attachment 1691822
Nini hiki mkuu.
Wapi hapo kaka?
cc: Tony254Imajengwa East Africa Commercial and Logistics Center View attachment 1692048View attachment 1692049View attachment 1692050View attachment 1692051
Sio Supermarket wee Bundi! Mr X kaeleza tu jinsi alivyojibiwa.Hii yote umeandika kwa mbwembwe kwa sababu wanajenga supermarket mpya? Hahaha. Mna vituko sana.
Hebu chunguza nyumbani kwako. Unajua katika vifaa vyote ambavyo unamiliki nyumbani, vifaa vinavyonyonya umeme kama uji ni vile vinavyoheat jambo fulani. Kwa mfano kuna heater ya maji ambayo huwa inakula umeme bila mchezo. Hata kale kaheater kadogo ambako unatumbukiza ndani ya jug ya maji pia kana around 1,000 watts. Pasi nayo inatumia hata 2,000 watts kulingana na pasi unayotumia. So unaweza kuimagine mashine ambayo inacool hewa iliyo ndani ya nyumba yako wakati wa joto hadi hewa hiyo iwe cool itatumia watts ngapi?
Tazama hapa watts za airconditioning system ya nyumba moja halafu multiply na millions of houses in a city.
View attachment 1691868