Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tony254 huyu anaongelea akina mbeya [emoji1787][emoji1787]
Mbeya hii hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji3545][emoji3545]
tapatalk_1595784671890.jpg
 
Unatafuta usaidizi [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji3545][emoji3545]




##Wakenya ni mavi kabisa##
Ccm anaposhindwa na hoja, hukimbilia matusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akina uringa sio[emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania hakuna zaidi ya dar, ukitoka hapo unakutana na akina mbeya city[emoji1787][emoji1787]
Hahahahaaaaa umetii, next time usirudie tena [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Upo sahihi na mawazo yako ni kama ya Mchumi. Wewe unawaza opportunity cost ya $ 1 billion. Na hivyo ndivyo wachumi wamefunzwa kuwaza. Swali la kwanza la kujiuliza ni je hii $1 billion inaweza kujenga barabara kilomita ngapi badala ya kujenga white elephant surplus power ya 580 MW? Mbona ujenge 580 MW wakati bado hujamaliza kujenga 2,000 MW? Hata feasibility study ya hio 580 MW sijui kama imefanywa ila feasibility study inastahili kuelezea kama project fulani ni white elephant au la. Watanzania wenzako watakupinga lakini upo sahihi. Usikubali wakuintimidate. Mnapoteza tax payers money kujenga viwanda vya kufua umeme wakati nyinyi wenyewe mnatumia 1,177 MW miaka hamsini baada ya kupata uhuru. Eti mnapanga kuuza SADC. Haya basi kila la heri kuuza umeme wote huo SADC. Nawaombeeni mpate customers wa kutosha.
So wewe utawaza kujenga nyumba kubwa ukishakuwa nafamilia kubwa au ukiwa bado na familia ndogo??
 
Wamekimbia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom