Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JIJI La Dodoma Linatumia 36.7MW [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah tafsiri yake nn
 
Corona Covid -19 Mlipuko wa Pili / Second Wave yapata dawa ya kienyeji kuituliza kwa Tiba Asili

Hatimaye serikali Tanzania kupitia Waziri wa Afya imekubalika kuwa corona ipo na kukabiliana nayo tutumie mchanyato wanaoutengeneza kwa mimea / viungo / matunda mbalimbali ambayo inachanganywa na maji lita moja.

Waziri wa Afya Dr. Dorothy Onesphoro Gwajima akiongozana na waziri mdogo wa Afya Dr. Godwin Oloyce Mollel ambao wote kitaaluma ni matabibu (madaktari) wa binadamu wametangaza Tiba Asili 5 zilizoidhinishwa na Baraza la Tiba la Asili Tanzania na kupasishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali kuwa zinafaa kutumiwa na binadamu.

Waziri wa Afya Dr. Dorothy Gwajima amesema Tanzania itaendelea kukuza tiba za asili zaidi na kuendelea kuzitangaza kadri zinavyopitishwa na Baraza la Tiba Asili na Mkemia Mkuu wa serikali, kwani hivyo ndivyo mataifa mengine yanavyofanya ugunduzi ukifanyika na kupitishwa ni salama kwa matumizi ya binadamu.
 
JIJI La Dodoma Linatumia 36.7MW [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah tafsiri yake nn
Hahaha. Tafsiri yake ni kwamba Dodoma ni ndogo sana kuitwa mji. Dodoma inastahili kuitwa kijiji. Yaani capital city inatumia 36 MW?
 
JIJI La Dodoma Linatumia 36.7MW [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daah tafsiri yake nn

Its growing .. ndo maana sasa hivi wamefunga transformers za ku step up umeme na linazalisha 240mw ..

Pspf ya Dar peke yake linaweza kutumia zaidi ya 4mw full capacity (not currently)ndo ujue miji ikikua umeme unaenda

IMG_0519.jpg
 
View attachment 1691805
Yaani majengo manne yanatumia more power than the whole of Mtwara. Hahaha Watanzania bwana. Mnachekesha sana.
 
Kidogo kidogo mtu mweusi anaanza kuthaminika ndani ya USA

View attachment 1691806View attachment 1691807View attachment 1691808
Alikuwa awekwe wakati wa urais wa Trump lakini kwa sababu ya Racism ya Trump, Trump akakataa kumuweka. Sasa Biden Atamuweka kwenye noti ya marekani.
 
Yaani majengo manne yanatumia more power than the whole of Mtwara. Hahaha Watanzania bwana. Mnachekesha sana.
Weka neno kdg hapa usijifanye hujaona[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
JamiiForums2112678979.jpg
JamiiForums64641559.jpg
 
Its growing .. ndo maana sasa hivi wamefunga transformers za ku step up umeme na linazalisha 240mw ..

Pspf ya Dar peke yake linaweza kutumia zaidi ya 4mw full capacity (not currently)ndo ujue miji ikikua umeme unaenda

View attachment 1691805
Matumizi ya ngazi za umeme nayo huchangia sana energy consumption.
Ujenzi wa uwanja wa mpira, sgr station, uwanja wa ndege vita boost matumizi ya umeme dodoma,
Hapo bado malls na majengo mapya yanayojengwa.
 
Its growing .. ndo maana sasa hivi wamefunga transformers za ku step up umeme na linazalisha 240mw ..

Pspf ya Dar peke yake linaweza kutumia zaidi ya 4mw full capacity (not currently)ndo ujue miji ikikua umeme unaenda

View attachment 1691805
Hahaha iyo niliiskia Dar inatumia zaidi ya 550MW
 
Back
Top Bottom