Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unavyozidi kufanya umeme uwe cheap una encourage consumers pia kununua appliance za umeme mkubwa

Umeme ukifika tsh 36 kwa unit
Watu watanumua Washing machines,Dishwashers ,A/c na Electric cookers cause they can afford to pay bills so tunavyojenga plants nying na kushusha bei tuna stimulate sisi wenyewe kuutumia huu
Leo kuna darasa kubwa humu.
 
Nani amekudanganya kwamba sisi tunakatiwa stima kwa sababu ya power rationing? Sisi tunakatiwa stima pale tu ambapo Kenya power inataka kufanya repair.
Si ndo huu hapa uongo wenyewe, eti the blackouts are a result of the missing link between the region and idle power at the Olkaria station [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_20210129-105557.jpg
 
Si ndo huu hapa uongo wenyewe, eti the blackouts are a result of the missing link between the region and idle power at the Olkaria station [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1691566
Hio blackout in western region ni kwa sababu ya lack of transmission line sio kwa sababu ya lack of power.
 
Hio blackout in western region ni kwa sababu ya lack of transmission line sio kwa sababu ya lack of power.
So are you comfortable with this ?

Tanzania kuna vijiji niliondoka zamani leo wana umeme ambao kuunganishwa ni TSH 20000 sawa na KSH 2K.

Wapi Kenya Gharama ya Umeme iko cheap kiasi hiki... Now imagine huyo mtu anaweza kuuanzisha mashine ya kusaga Mahinidi na nafaka plus water pumbs for Irigiation ambayo walitumia a lot of Oil which in turn is very costful

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko ndio kufulia hahaha eti mmetutangulia juzi tu, hivi unajua hata kama mlitutangulia tukaja kuvifanya halafu tukawazidi kimoja wapo huko ndio kupitwa, we unabaki na historia tu, tuli.. Tuli..

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Hapo inamaanisha life span ya yale madaraja yetu inaruhusu kukenga mengine nyie bado yana miongo..
Kwhyo tunajenga mengine km mnavyoona katika hii miradi yetu ya sasa..

Kwhyo hyo tuli tuli ndio yapo na tunaongeza
 
So are you comfortable with this ?

Tanzania kuna vijiji niliondoka zamani leo wana umeme ambao kuunganishwa ni TSH 20000 sawa na KSH 2K.

Wapi Kenya Gharama ya Umeme iko cheap kiasi hiki... Now imagine huyo mtu anaweza kuuanzisha mashine ya kusaga Mahinidi na nafaka plus water pumbs for Irigiation ambayo walitumia a lot of Oil which in turn is very costful

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio 2k ksh ni less than 1k ksh mkuu.
 
Hvi Tony254 nyinyi munashida gani???

Hii huwa inafanyika kila mwaka. Hivi huna habari? Hata mimi nilipokuwa high school kidato cha pili wale wanafunzi wajinga wajinga wanaoanguka mtihani wa kidato cha tatu na cha nne walifanya strike na kuvunja madirisha ya shule nzima. Mwishowe hao wanafunzi walifukuzwa shule maana hawataki kusoma.
 
Back
Top Bottom