Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna watu wamekuwa wakifanya kazi serikalini Kwa muda sasa lakini mishahara yao iko pale pale. Una neno lolote juu yao? Na sina haja ya kukuchosha. Kama una topic nyingine ya kuongolea, anzisha. Mimi sishikilii hoja za huu uzi!
Miaka mingapi wanafanya serikalini!?
 
Wewe ni mfanyakazi wa serikalini!?
Ulipokuwa unaenda kuajiliwa hukujua mshahara wa serikali. Hebu ndugu usituchoshe kwenye hii battle.
Unauliza swali mboga sana mwambie mzee wako aongeze pesa aache kukaa juu ya sheria
 
Sasa tatizo la rais ni nini kama hizo hoja umezitoa!?
Hizo hoja ulizozitoa unazijua. Je, hoja zote unazijua!? Je hakuna hoja zingine tofauti na hizo unazozijua!?

Hebu acha bhana kutuchosha tuna mambo mengi sana ya kupambana kwenye battle hii.
Kosa la Rais ni kugeuza jicho Kwa wafanyakazi wa umma. Kama serikali ina uwezo wa kuboresha maslahi yao Kwa nini wasiboreshe? Tatizo hapa sio “uzalendo” Bali ni serikali kushindwa kufanya jukumu la kujali watu ambao wanafanya kazi ya kuwasaidia mamilioni ya watanzania!
 
Tuongelee battle ya Dar es salaam vs Nairobi.
Usituchanganye Mzee. Nenda kwenye thread inayohusu mishahara.
Nimeshikilia will yako ya kuzungumza? Nimezuia vidole vyako kuandika? Kama Unataka kuongea hoja nyingine we ongea tu. Upo Huru kupita comments zangu!
 
Ona boriti katika jicho lako ndio utoe kibanzi jichoni pa mwenzio! Wewe unalalamikia sekta binafsi lakini hulioni kosa la serikali! Sijasema kuwa mishahara ya wafanyakazi wa serikalini iwe Sawa na ya wafanyakazi wa sekta binafsi Bali nimesema mishahara ya wafanyakazi wa umma iboreshwe, maslahi yao ya kazi Pia yawe bora na ikiwezekana kuwepo na benefits mbalimbali za wafanyakazi wa serikalini!
maslah bora kwako wewe ni sh ngapi? usisahau Tanzania ni nchi maskini
 
Nimeshikilia will yako ya kuzungumza? Nimezuia vidole vyako kuandika? Kama Unataka kuongea hoja nyingine we ongea tu. Upo Huru kupita comments zangu!
Ninakufundisha, jifunze kutuliza hisia zako. Kama umeguswa na kauli hiyo, mzee, hoja zangu hapo juu kama haumo kwenye makundi ya sabotaging, kulaghai wafanyakazi wengine, kuichafua serikali, kutumia nyaraka za serikali kwa manufaa yako ukiwa hospital binafsi, kuendelea kutumia jina la serikali ili uaminiwe ukiwa private, kutoa taarifa za serikali katika mashirika mbalimbali wakati haupo serikalini.

Mzee tulia uchunguzi ufanyike. Hata kwenye makinikia wengi mlipiga kelele. Rais anazo taarifa nyingi.
 
Hizi hoja nilishazisema hapo mwanzo. Nilisema kuwa kama Huyo Daktari alifata kanuni zote za kuhama hana kosa lakini kama aliondoka kwa matakwa yake bila sheria basi hatia Anayo. Lakini hata kama kosa amefanya, kuna haja ya kufunga hospitali nzima?
sasa unaweza kuhitimisha kwa kitu ambacho wewe na mimi hatujui?
 
Kosa la Rais ni kugeuza jicho Kwa wafanyakazi wa umma. Kama serikali ina uwezo wa kuboresha maslahi yao Kwa nini wasiboreshe? Tatizo hapa sio “uzalendo” Bali ni serikali kushindwa kufanya jukumu la kujali watu ambao wanafanya kazi ya kuwasaidia mamilioni ya watanzania!
maslah bora ni kiasi gani?
 
It is even below that percent its is around 34%! Nyie si mmepika juzi IMF imewaumbua na kuwalazimisha madeni ya parastatals kuwa included!


Tanzania says it has begun negotiations over debt relief to shore up economy​

By Nuzulack Dausen, Omar Mohammed
3 MIN READ

DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania has begun negotiations with creditors over a G20 nations initiative over debt relief, the finance minister said on Thursday, part of efforts to mitigate negative economic effects sparked by the coronavirus outbreak.

The initiative is geared towards delaying debt repayments beginning in May to December 2020, freeing up cash for governments to use to ease the economic impact of COVID-19.

“The 20 richest nations in the world (G-20) have urged bilateral official creditors to provide debt relief to the world’s poorest nations including Tanzania,” Philip Mpango said in parliament.

“The government has began negotiations with creditors to benefit from this initiative.”

Mpango told lawmakers that Tanzania and international institutions were discussing access to financing for “combating (the) COVID-19 pandemic to stabilize the economy.”

The government is talking to the European Union for potentially 27 million euros’ worth of support and the International Monetary Fund’s rapid credit facility where Mpango said it could access up to $272 million as balance of payments support.

African Development Bank has pledged a concessional loan of $50 million as budget support, the finance minister added.

On Wednesday, the IMF said it had approved debt relief to Tanzania worth $14.3 million over the next four months, and potentially up to $25.7 million over the next 23 months.

Neighbouring Kenya has said it will not seek debt relief under the G-20 plan because the terms are too restrictive and it might affect Kenya’s credit rating.

Earlier on Thursday, Mpango said that Tanzania expects its economy to grow by 5.5% in 2020 compared with a previous estimate of 4%, after the government took steps to mitigate the economic impact of coronavirus, a much rosier outlook than the World Bank’s projection of 2.5%.

“This is due to rains ruining transport infrastructure in the country and the impact of COVID-19 which hit a lot of countries that are our trade partners,” he said.

In what is the last budget for this parliament before the general election in October, Tanzania plans to spend 34.88 trillion Tanzanian shillings ($15.09 billion) for the fiscal year 2020/21, up from 33.11 trillion shillings the previous year, Mpango said.

The finance minister told parliament that total public debt to GDP ratio stood at 27.1% while external public debt to GDP was at 16.3%.

Tanzania plans to borrow a total of 7.94 trillion shillings from domestic and international markets for the next fiscal year, said Mpango.

Reporting by Nuzulack Dausen in Dar es Salaam and Omar Mohammed in Nairobi; Writing by Omar Mohammed; Editing by Katharine Houreld, Peter Graff and Jonathan Oatis

Our Standards: The Thomson Reuters Trust Principles.

Mnanegotiate debt relief kwa nini kama debt to Gdp ratio yenu ni 39%? Kama deni yenu ni kidogo na mnaweza kuyamudu deni yenu basi mbona mnaomba relief?
 
Sidhani kama unachoongea ni kweli negotiations bado zinaendelea huko kunakochimbwa si visima vya Equinor vilivyo block 2!
Sijasema visima vinavyochimbwa ni vya hao wawekezaji. Jaribu kurejea maelezo ya Magu alipokuwa akielezea sababu za kumrejesha kazini mkurugenzi wa TPDC. Pia ukipitia bajeti ya nishati ya mwaka huu utaaona ninachokisema.

Kuhusu mazungumzo huenda yanaendelea ila serikali ilikwisha kuweka wazi kuwa sharti yaanze upya na kila mwekezaji aende mezani na serikali kivyake. Hapo ndipo panapowafanya hao wawekezaji kufyata mkia.

Ninachoamini ni kuwa hayo makampuni bado yanaamini katika plan b's zao walizozoea serikali zikikaza. Ila sioni Tz ikiruhusu hilo. Any form of ugaidi will always be taken down.
 
Ninakufundisha, jifunze kutuliza hisia zako. Kama umeguswa na kauli hiyo, mzee, hoja zangu hapo juu kama haumo kwenye makundi ya sabotaging, kulaghai wafanyakazi wengine, kuichafua serikali, kutumia nyaraka za serikali kwa manufaa yako ukiwa hospital binafsi, kuendelea kutumia jina la serikali ili uaminiwe ukiwa private, kutoa taarifa za serikali katika mashirika mbalimbali wakati haupo serikalini.

Mzee tulia uchunguzi ufanyike. Hata kwenye makinikia wengi mlipiga kelele. Rais anazo taarifa nyingi.
Hisia Zipi? Nishindwe kuonyesha hisia kwa partner wangu nionyeshe hisia kwenye huu uzi? Naomba uwe serious. Wewe endelea na mijadala mingine unayotaka kuzungumza...mimi sikuzuii.
 
Back
Top Bottom