Si niliweka kauli aliyozungumza au haukuiona?
View attachment 1689836View attachment 1689838
Halafu, usichanganye manung’uniko na critical thinking. Wengi wetu ni mashabiki ila sio watu wenye uwezo wa kufikiri na kuchambua lipi ni Zuri na lipi ni baya. Kama nilivyosema, Raisi Magufuli Ana nguvu kuliko mtu yoyote nchi hii na lolote atakaloamua linafanyika lazima lifanyike. Kama tatizo ni maslahi ya kazi, Kwa nini yeye kama Rais asiboreshe hayo maslahi ili nafasi za serikalini ziwe more attractive and lucrative? Medicine sio kitu rahisi na kazi ya kuwasaidia watu kama hiyo inapaswa ipewe kipaumbele. Sio kusingizia kigezo cha uzalendo!