Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Airports tunazo. Kwanza zinaserve more passengers kushinda zenu. Abattoirs tunazo hata kama sio automated kama zenu. Hospitals tunazo lakini hapo tuna mambo kadhaa ya kujifunza maana hospitali zenu zimeanza kufanya complex surgeries in government hospitals. Hatuna lolote la kujifunza kwenye umeme kutoka kwenu.
Hahahaaaa, hata hapa pia lazima mjifunze mana sisi tushatoka huku kitambo since 2015
Screenshot_20210129-105557.jpg
 
Hio pesa ni kidogo sana kuweza kujenga miundombinu na pia kulipa mishahara ya wafanyikazi wa kiserikali. Something is not adding up.
Tatizo nyie pesa zenu mnazifuja....pesa kidogo ukiipanga inafanya kazi kubwa sana...sasa unafikiri mngekua hamna rushwa na matumizi ya hovyo simngekua mbali zaidi?badilini mtazamo

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Hawa hawawezi kuamini kwa sasa mpaka siku tukija Kurebase GDP yetu na kuona ilo gape tutakalokuwa tumewapiga ndipo watasadiki...kwasasa hata ukiwaonesha Runway ya dhahabu watasema hyo ni south Africa sio Bongo....cjui lini tutarebase ili Uzi huu ufungwe rasmi na kuanzisha Uzi mwengne wa Tanzania VS South Africa au Egypt etc
Tunasubiri ROI ianze kufanya kazi japo kdg zen tuna rebase our GDP hapo ndipo kutakuwa na kilio na kusaga meno from northerners
 
Hio pesa ni kidogo sana kuweza kujenga miundombinu na pia kulipa mishahara ya wafanyikazi wa kiserikali. Something is not adding up.
Kama mapato ya madini tu kwa mwaka ulio pita ilikuw 2.7 b , unashanga nini huku utali ukifuatia 1.9, bado mapato ya kodi...ikumbukwe miradi mikubwa haifanyik ndani ya mwaka moja...mtaumia sana
Pia wakat tunakusanya 800 b mishara na miradi piw ilikuw inafanyika sasa sijui unapinga nini
 
Hio pesa ni kidogo sana kuweza kujenga miundombinu na pia kulipa mishahara ya wafanyikazi wa kiserikali. Something is not adding up.

Tatzo kubwa lilipo Kenya ni rushwa na ufisadi, Gharama nying za miradi zinakuwa inflated uko kwenu hivyo kwako lazima ushangae haya yote yanawezekana vip...hii ndo maana halisi ya “Value for Money”.... Example 1M USD kwa Tanzania ina kamilisha mradi wa maji na usambazi kwa wananchi karibu vijiji vinne na zaidi ila kwa Kenya na uhakika kwa ufisadi na Rushwa iliyokuwa hyo hela yote inaishia kununulia valves au mabomba.
 
Is this 39% Debt to Gdp ratio accurate au mnapika vitabu kama kawaida yenu?
Uzuri ni kwamba Magu ameweza sn kupambana na wafuja pesa hiyo ndiyo siri kubwa, utakuta miradi mingine approximately price of the project inapungua na inarudishwa serikalini je nyie kwenu ishawahi kutokea hiyo? Yn pesa iliyotakiwa kujenga mradi fulani inaonekana ilikuwa nyingi so inarudishwa kufanya mambo mengine najua hapa lazima ushangae ila inatokea bongo mara nyingi sn
 
Nimemwambia pia hapa

Na pesa ya kufanya miradi hii inatoka wapi?
pitia budget utaona jamaa akitenga fedha za miradi toka wakati wa kuandaa budget kwa wizara husika! Pili migodi imeongeza ulipaji wa kodi! kuna kitu kinaitwa forced account kimefanya wonders kwenye municipals at lower levels! Ukigusa fedha ya "forced account" u r automatically out! with forced account all procurement is done under strictly procurement procedures!
 
Is this 39% Debt to Gdp ratio accurate au mnapika vitabu kama kawaida yenu?
It is even below that percent its is around 34%! Nyie si mmepika juzi IMF imewaumbua na kuwalazimisha madeni ya parastatals kuwa included!

Tanzania says it has begun negotiations over debt relief to shore up economy​

By Nuzulack Dausen, Omar Mohammed
3 MIN READ

DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania has begun negotiations with creditors over a G20 nations initiative over debt relief, the finance minister said on Thursday, part of efforts to mitigate negative economic effects sparked by the coronavirus outbreak.

The initiative is geared towards delaying debt repayments beginning in May to December 2020, freeing up cash for governments to use to ease the economic impact of COVID-19.

“The 20 richest nations in the world (G-20) have urged bilateral official creditors to provide debt relief to the world’s poorest nations including Tanzania,” Philip Mpango said in parliament.

“The government has began negotiations with creditors to benefit from this initiative.”

Mpango told lawmakers that Tanzania and international institutions were discussing access to financing for “combating (the) COVID-19 pandemic to stabilize the economy.”

The government is talking to the European Union for potentially 27 million euros’ worth of support and the International Monetary Fund’s rapid credit facility where Mpango said it could access up to $272 million as balance of payments support.

African Development Bank has pledged a concessional loan of $50 million as budget support, the finance minister added.

On Wednesday, the IMF said it had approved debt relief to Tanzania worth $14.3 million over the next four months, and potentially up to $25.7 million over the next 23 months.

Neighbouring Kenya has said it will not seek debt relief under the G-20 plan because the terms are too restrictive and it might affect Kenya’s credit rating.

Earlier on Thursday, Mpango said that Tanzania expects its economy to grow by 5.5% in 2020 compared with a previous estimate of 4%, after the government took steps to mitigate the economic impact of coronavirus, a much rosier outlook than the World Bank’s projection of 2.5%.

“This is due to rains ruining transport infrastructure in the country and the impact of COVID-19 which hit a lot of countries that are our trade partners,” he said.

In what is the last budget for this parliament before the general election in October, Tanzania plans to spend 34.88 trillion Tanzanian shillings ($15.09 billion) for the fiscal year 2020/21, up from 33.11 trillion shillings the previous year, Mpango said.

The finance minister told parliament that total public debt to GDP ratio stood at 27.1% while external public debt to GDP was at 16.3%.

Tanzania plans to borrow a total of 7.94 trillion shillings from domestic and international markets for the next fiscal year, said Mpango.

Reporting by Nuzulack Dausen in Dar es Salaam and Omar Mohammed in Nairobi; Writing by Omar Mohammed; Editing by Katharine Houreld, Peter Graff and Jonathan Oatis

Our Standards: The Thomson Reuters Trust Principles.

Hio pesa ni kidogo sana kuweza kujenga miundombinu na pia kulipa mishahara ya wafanyikazi wa kiserikali. Something is not adding up.
as an accountant u should break up the collection and the cost of all the projects! Since 2015-2016 budget he has been setting aside funds for the projects according to his development agenda! kwani award ya prudence on revenues GoT ilipewa unafikiri anapendelewa ama?
 
Back
Top Bottom