Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu nilichogundua leo ni kuwa ijapokuwa hii forum ni ya Dar Es salaam Vs Nairobi, watanzania hawako tayari kukubali makosa ambayo yanahusiana na Tanzania. Most of us would rather sweep our mistakes under the rug instead of facing them with confidence! Ushauri wangu ni kuwa tuwe watu wenye upeo wa kufikiri. Ushabiki upo lakini zawadi ya kutambua pale jambo ni Jema au ovu ni upeo wa watu wachache sana. Tanzania itafanikiwa kwa kiasi kikubwa kama tukijitofautisha na majirani zetu. Tuwe watu wenye akili na nguvu ya kufanya kazi na muhimu zaidi, tuweze kuona makosa yetu wenyewe na tuyatatue. On a side note, Today is my last day as a member of this thread. I have realized that I do not need to be an active member to show my allegiance to Tanzania. Although I have learned a lot of things since I joined this battle, my role has been time consuming, distracting, and it has taken a toll on my personal life on a regular basis. Surely, I have come a long way, but I’m certain that my absence will not cause any problems. I have also made mistakes. So, I apologize if I have caused any inconvenience among you. Hopefully, you’ll all continue to show the masses just how both TZ and KE are making progress. Also, Tanzanians..keep kicking ass.
Askari anayeweka slaha huyo ni wa kuchapa risasi. Tatizo lako ni kurukia mada. Hapa unajua kabisa ni thread inahusu battle btn Dar es salaam and Nairobi.

Sasa mzee hujui hata ethics. Huwezi kuwa na issue zako na mke wako halafu ukaanza kumdhalilisha kwenye public.

Jifunze kujifunza. Na usilazimishe mambo.
 
Tunakubaliana kwamba nchi inaongozwa kwa sheria na sio maamuzi ya mtu binafsi,kama sheria za kuongeza zilikuepo kwanini mtu m1 aje na zake kichwani?Sasa kama alishasema kaaTunakubaliana kwamba nchi inaongozwa kwa sheria na sio maamuzi ya mtu binafsi,kama sheria za kuongeza zilikuepo kwanini mtu m1 aje na zake kichwani?Sasa kama alishasema ukiona mshahara hautoshi Acha kazi mbona tena watu wakiondoka analeta shida...maana zipo taratibu unaweza kua nje ya system hata 5years na ukarudi
Hebu ndugu nakuomba utuwekee hiyo sheria ya kuongezewa mshahara tuione na sisi tuone inasemaje. Mwezi wa kwanza si umeisha jamani!? Bado maumivu ya January upo nayo tu!?
 
Askari anayeweka slaha huyo ni wa kuchapa risasi. Tatizo lako ni kurukia mada. Hapa unajua kabisa ni thread inahusu battle btn Dar es salaam and Nairobi.

Sasa mzee hujui hata ethics. Huwezi kuwa na issue zako na mke wako halafu ukaanza kumdhalilisha kwenye public.

Jifunze kujifunza. Na usilazimishe mambo.
The guy is a gentleman you idiot., Can't you just pick his advise and with respect[emoji848] wacha za ovyo[emoji28]
 
Private sector wapo wanaolipwa hata chini ya ya serikali ni wewe na uamuzi wako pia
Sawa, ila tuache kulalamika mkuu tuangalie nchi inakwenda wapi na tujifunze kuridhika, na pia tujifunze kwa wenzetu walioendelea kwmb hawakufika pale kwa kuongezeana ongezeana mishahara.

Kuna Watz wengi hawana kazi lkn wanaelewa nchi inapoelekea na hawalalamiki kivile km wanavyolalamika watumishi wengi wa serikali wanaolipwa mishahara kila mwezi tena pasipo kucheleweshwa km nchi za wenzetu hapa hapa Africa.
 
Unajua masomo ya udaktari ndiyo masomo inayogharimu pesa nyingi zaidi kushinda masomo yoyote ile. Serikali yenu inastahili kuandikiana mkataba na wanafunzi wa udaktari kwamba kama serikali itawasomesha nao lazima wafanye kazi katika hospitali za kiserikali kwa miaka 20 kabla ya kuresign la sivyo mtapoteza madaktari wengi sana. Tuulize sisi Kenya masaibu tuliopitia tukuambie. Sisi madakatari wetu walikuwa pindi wanapohitimu tu wanatorokea USA au Britain. Hata sasa hivi ukienda UK utapata madaktari na manesi wengi sana kutoka Kenya. Serikali inawasomesha bure au kwa bei nafuu halafu wanatorokea nchi za kibeberu kutibu mabeberu na kupiga pesa ndefu huku Wakenya wakikosa madaktari wa kutosha. Lazima mlazimishe hao madaktari wakati bado wao ni wanafunzi kusign mikataba ya kufanya kazi katika hospitali za kiserikali kwa muda fulani la sivyo mtalia na kusaga meno kama sisi.
sawa kabisa na hii ni kwa sector zote za serkal sio madaktar pekee ile ya magu it was wakeup call yani alkua mbele ya muda na hili ni tatizo tena kubwa kwa nchi za Africa migogoro ya private sector na serkal kwa nchi za mabeberu ni michache sana njoo Africa sasa......
 
Tunakubaliana kwamba nchi inaongozwa kwa sheria na sio maamuzi ya mtu binafsi,kama sheria za kuongeza zilikuepo kwanini mtu m1 aje na zake kichwani?Sasa kama alishasema kaaTunakubaliana kwamba nchi inaongozwa kwa sheria na sio maamuzi ya mtu binafsi,kama sheria za kuongeza zilikuepo kwanini mtu m1 aje na zake kichwani?Sasa kama alishasema ukiona mshahara hautoshi Acha kazi mbona tena watu wakiondoka analeta shida...maana zipo taratibu unaweza kua nje ya system hata 5years na ukarudi

nipe sababu kwann tuongezewe mshahara?
relate na hali ya maisha ya wafanya kazi wa serikali!

kuna mfanyakazi alikuwa anasomesha mwanae shule nzuri english medium kbla ya magu ila saiz ameshindwa?
kuna mfanyakazi ameacha starehe mfano ishu za pombe kisa saiz hana hela, mshahara hautoshi??
kuna mfanyakazi ameacha kuendesha gari kisa mshahara hautoshi kununua mafuta?? and the likes!
kwa mishahara ileile kbla ya magu, wanafanyakazi wanajenga nyumba, wananunua magari, wanasomea watoto, wanakula vizur na bata juu

ingekuwa hela za serikali zinatumika vibaya (ufisadi ufisadi kama kenya) na hakuna kuongezewa mshahara, hapo mgomo ungekuwepo
 
2025 gombea tukupe nchi utuongezee mishahara mjomba 😂😂😂😂🙌
Wananchi hawachagui rais huko Tanzania. Chama cha CCM ndio inayochagua rais kisha wananchi wanapiga rubberstamp. Hakuna democracy Tanzania
 
Kitu nilichogundua leo ni kuwa ijapokuwa hii forum ni ya Dar Es salaam Vs Nairobi, watanzania hawako tayari kukubali makosa ambayo yanahusiana na Tanzania. Most of us would rather sweep our mistakes under the rug instead of facing them with confidence! Ushauri wangu ni kuwa tuwe watu wenye upeo wa kufikiri. Ushabiki upo lakini zawadi ya kutambua pale jambo ni Jema au ovu ni upeo wa watu wachache sana. Tanzania itafanikiwa kwa kiasi kikubwa kama tukijitofautisha na majirani zetu. Tuwe watu wenye akili na nguvu ya kufanya kazi na muhimu zaidi, tuweze kuona makosa yetu wenyewe na tuyatatue. On a side note, Today is my last day as a member of this thread. I have realized that I do not need to be an active member to show my allegiance to Tanzania. Although I have learned a lot of things since I joined this battle, my role has been time consuming, distracting, and it has taken a toll on my personal life on a regular basis. Surely, I have come a long way, but I’m certain that my absence will not cause any problems. I have also made mistakes. So, I apologize if I have caused any inconvenience among you. Hopefully, you’ll all continue to show the masses just how both TZ and KE are making progress. Also, Tanzanians..keep kicking ass.
...on kicking ass hamna, full porojo n fear of facts, otherwise [emoji123]RESPECT MAN[emoji145][emoji145]., ADIOS AMIGO[emoji120]
 
Tunakubaliana kwamba nchi inaongozwa kwa sheria na sio maamuzi ya mtu binafsi,kama sheria za kuongeza zilikuepo kwanini mtu m1 aje na zake kichwani?Sasa kama alishasema kaaTunakubaliana kwamba nchi inaongozwa kwa sheria na sio maamuzi ya mtu binafsi,kama sheria za kuongeza zilikuepo kwanini mtu m1 aje na zake kichwani?Sasa kama alishasema ukiona mshahara hautoshi Acha kazi mbona tena watu wakiondoka analeta shida...maana zipo taratibu unaweza kua nje ya system hata 5years na ukarudi
we jamaa bana 😂😂😂😂acha kushupaza shingo hivi alokwambia NENO LA RAISI NI SHERIA ni nani?
 
Yaani wewe mkunya unatupangia cha kufanya.
Tangu lini demons zikamshauri mtakatifu. Mkunya atoe ushauri kwa watakatifu wa Tanzania. Hii ni ajabu ya 8
Tanzania ikiwa takatifu basi jehanamu ni paradiso[emoji28][emoji28][emoji1787]
 
Wananchi hawachagui rais huko Tanzania. Chama cha CCM ndio inayochagua rais kisha wananchi wanapiga rubberstamp. Hakuna democracy Tanzania
hu ubishi usokua na kichwa wala miguu unaotaka kuuanzisha hapa em tuwaachie watoto wa Facebook
hapa tujadili kama ma great thinker uo utopolo wako baki nao mwenyewe
 
Sawa, ila tuache kulalamika mkuu tuangalie nchi inakwenda wapi na tujifunze kuridhika, na pia tujifunze kwa wenzetu walioendelea kwmb hawakufika pale kwa kuongezeana ongezeana mishahara.

Kuna Watz wengi hawana kazi lkn wanaelewa nchi inapoelekea na hawalalamiki kivile km wanavyolalamika watumishi wengi wa serikali wanaolipwa mishahara kila mwezi tena pasipo kucheleweshwa km nchi za wenzetu hapa hapa Africa.
Kazi Ni ya risk lazima walipwe tofauti ,Unaweza ukafunga shift kaja mgonjwa kapigwa na sukari inabidi ukapambane nae laah anakufa hapo ukicheza utatoka job usiku....Ukitaka kutoka huoni wakumsaidia huyo mgonjwa...Mbona wabunge wanalipwa milioni 10+ M walijopanidishia posho kutoka 70k hadi 300k[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Tufanye kazi na tudai maslahi mazuri iyo ni sahihi mbona...sikuhz kuna vituo by afya viko ndanindani uko yani unajikuta hata likizo unaweza usiende mzigo ulivyo mzito
 
Ambae hajakuelewa atakua mburula tu
Maslahi ni yaleyale tangu kikwete akiambiwa haambiliki Uyu mzee nae ajue watu wana dreams zao pia...na awe anafuatilia taratibu za kikazi maana ukienda private mshahara unastop...kule utaendelea kulipa kodi Na kutoa huduma tu maana Ni kazi ileile....Yani nipate deal is milioni 3 niliache kisa uzalendo?tuacheni utani
Mzee baba, umetisha aisee..
Yani ningelikua na uwezo ningetuma payslips za wale wanalfanya na mashirika ya yasiokua ya serekali, yani utafurahi..

Jamaa anakupigia laki na nusu kila mwezi na wakati huku serekalini kazi hyo hyo hata laki mshahara ni majanga kufika
 
Back
Top Bottom