Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hisia Zipi? Nishindwe kuonyesha hisia kwa partner wangu nionyeshe hisia kwenye huu uzi? Naomba uwe serious. Wewe endelea na mijadala mingine unayotaka kuzungumza...mimi sikuzuii.
Nijibu sasa hospital binafsi wanalipwa shilling ngapi na serikalini wanalipwa shilling ngapi!?
 
Wewe unataka tamko nilitoe mimi lakini unafahamu sina nafasi ya kufanya hivyo! Na watumishi wa serikalini ikiwemo madaktari hulipwa viwango tofautitofauti wewe una- generalize! Na maslahi sio mshahara tu!
 
Mnanegotiate debt relief kwa nini kama debt to Gdp ratio yenu ni 39%? Kama deni yenu ni kidogo na mnaweza kuyamudu deni yenu basi mbona mnaomba relief?

tukae kama mazoba tu kwamba tusiombe hata relief ya madeni kisa tuna deni ndogo? hela ambayo tukitakiwa kulipa madeni ndo itaenda kwenye miradi ya serikali .. sisi tunajali hela zetu zitumike kwenye zinazomgusa raia zaidi!
 
Halafu kuna wengi tu wapo Hospital binafsi wanataka kwenda hospital za serikali.

Jamaa anataka maslah yaongezwe. Anatakiwa atueleze sasa hivi madaktari wanalipwa sh. Ngapi na yeye anataka iwe sh. Ngapi.
bas tuu kufata mkumbo m nmemuuliza anawezaje kuchagua upande kwa kitu ambacho hakijaisha?
au labda uelewa na ukosefu wa taarifa sahihi = mtu arrogant
 
Wewe unataka tamko nilitoe mimi lakini unafahamu sina nafasi ya kufanya hivyo! Na watumishi wa serikalini ikiwemo madaktari hulipwa viwango tofautitofauti wewe una- generalize! Na maslahi sio mshahara tu!
Sasa mzee unachotaka nini!? Unaweza kuweka orodha ya maslahi wanayodai watumishi wa serikali!?

Kama hujui ni bora ukakaa kimya.
 
tukae kama mazoba tu kwamba tusiombe hata relief ya madeni kisa tuna deni ndogo? hela ambayo tukitakiwa kulipa madeni ndo itaenda kwenye miradi ya serikali .. sisi tunajali hela zetu zitumike kwenye zinazomgusa raia zaidi!
au kwa maana nyingine pesa tuliyosamehewa itaongeza budget ya maendeleo
 
Kuna wadau hawajui Au wanafanya kusudi...
Mtumishi anatakiwa kupata annual increment hawapati,anatakiwa kupata posho muda wa ziada wa kazi (hapa walau zinatoka),Anatakiwa kupanda cheo baada ya miaka minne hapa kuna Ambao hawajapanda na wameajiriwa 2014...zimepigwa pin na namba 1....Sasa mtu akijiongeza mkwara mzito
 
Huyu jamaa sometimes huwa anakuwa kama popoma, inasikitisha

Unajua masomo ya udaktari ndiyo masomo inayogharimu pesa nyingi zaidi kushinda masomo yoyote ile. Serikali yenu inastahili kuandikiana mkataba na wanafunzi wa udaktari kwamba kama serikali itawasomesha nao lazima wafanye kazi katika hospitali za kiserikali kwa miaka 20 kabla ya kuresign la sivyo mtapoteza madaktari wengi sana. Tuulize sisi Kenya masaibu tuliopitia tukuambie. Sisi madakatari wetu walikuwa pindi wanapohitimu tu wanatorokea USA au Britain. Hata sasa hivi ukienda UK utapata madaktari na manesi wengi sana kutoka Kenya. Serikali inawasomesha bure au kwa bei nafuu halafu wanatorokea nchi za kibeberu kutibu mabeberu na kupiga pesa ndefu huku Wakenya wakikosa madaktari wa kutosha. Lazima mlazimishe hao madaktari wakati bado wao ni wanafunzi kusign mikataba ya kufanya kazi katika hospitali za kiserikali kwa muda fulani la sivyo mtalia na kusaga meno kama sisi.
 
Kuna wadau hawajui Au wanafanya kusudi...
Mtumishi anatakiwa kupata annual increment hawapati,anatakiwa kupata posho muda wa ziada wa kazi (hapa walau zinatoka),Anatakiwa kupanda cheo baada ya miaka minne hapa kuna Ambao hawajapanda na wameajiriwa 2014...zimepigwa pin na namba 1....Sasa mtu akijiongeza mkwara mzito
Kwanza hii kazi ya utumishi ilibidi napo kuwe na mkataba wa muda fulani wa kufanya kazi mfano iwe miaka 5 mtu atoke aje mwengine mana uwezo wa kuajiri kwa serikali ni mdogo so ingekuwa ni kazi ya mkataba zen unatoka unawapa nafasi wengine wafanye, hii kidogo itapunguza manung'uniko cz hiyo mishahara mnayosema midogo kuna watu wanaitaka hiyo hiyo.

Wapo watakaozungumzia uzoefu but uzoefu utapatikana kwa wale wanaobaki, hivyo hvyo naye akimaliza miaka yake 5 anatoka anampisha mwenzie, watu wengi wanapenda kufanya kazi serikalini.
 
Umejuaje kama hakuna mikataba!?
 
Kitu nilichogundua leo ni kuwa ijapokuwa hii forum ni ya Dar Es salaam Vs Nairobi, watanzania hawako tayari kukubali makosa ambayo yanahusiana na Tanzania. Most of us would rather sweep our mistakes under the rug instead of facing them with confidence! Ushauri wangu ni kuwa tuwe watu wenye upeo wa kufikiri. Ushabiki upo lakini zawadi ya kutambua pale jambo ni Jema au ovu ni upeo wa watu wachache sana. Tanzania itafanikiwa kwa kiasi kikubwa kama tukijitofautisha na majirani zetu. Tuwe watu wenye akili na nguvu ya kufanya kazi na muhimu zaidi, tuweze kuona makosa yetu wenyewe na tuyatatue. On a side note, Today is my last day as a member of this thread. I have realized that I do not need to be an active member to show my allegiance to Tanzania. Although I have learned a lot of things since I joined this battle, my role has been time consuming, distracting, and it has taken a toll on my personal life on a regular basis. Surely, I have come a long way, but I’m certain that my absence will not cause any problems. I have also made mistakes. So, I apologize if I have caused any inconvenience among you. Hopefully, you’ll all continue to show the masses just how both TZ and KE are making progress. Also, Tanzanians..keep kicking ass.
 
Kuna wadau hawajui Au wanafanya kusudi...
Mtumishi anatakiwa kupata annual increment hawapati,anatakiwa kupata posho muda wa ziada wa kazi (hapa walau zinatoka),Anatakiwa kupanda cheo baada ya miaka minne hapa kuna Ambao hawajapanda na wameajiriwa 2014...zimepigwa pin na namba 1....Sasa mtu akijiongeza mkwara mzito

sikupingi lkn kwa hali tuliyonayo kuna ulazima huo saiz? mara nying hivyo vinafanyika ikiwa hali ya maisha au mfumuko wa maisha au mfumuko wa bei ukiwa unaongezeka.. sasa kama mfumuko wa bei wa kipindi ana ingia mpka sasa unazidi kushuka kuna ulazima gan kuongeza mshahara? wafanyakazi hawaoni ugumu ndo mana wapo kimya.. ugumu ukiwepo lazima utaonekana tu.. sawa hio sheria ipo lkn lazima tuangalie na uhalisia wa maisha yalivyo! ni magumu kwa wafanyakazi au ni ya kawaida! mim ni mmoja wa wafanyakaz ndan ya serikali, naongea kitu ninachoexperience

na ninaweza kusema tatizo kubwa lilipo sasa ni tatizo la ajira (watu wapya kuingia).. ila hili la kutoongezewa mshahara wala si tatizo
 
Kwanza hii kazi ya utumishi ilibidi napo kuwe na mkataba wa muda fulani wa kufanya kazi mfano iwe miaka 5 mtu atoke aje mwengine mana uwezo wa kuajiri kwa serikali ni mdogo so ingekuwa ni kazi ya mkataba zen unatoka unawapa nafasi wengine wafanye, hii kidogo itapunguza manung'uniko cz hiyo mishahara mnayosema midogo kuna watu wanaitaka hiyo hiyo.

Wapo watakaozungumzia uzoefu but uzoefu utapatikana kwa wale wanaobaki, hivyo hvyo naye akimaliza miaka yake 5 anatoka anampisha mwenzie, watu wengi wanapenda kufanya kazi serikalini.
Kazi Ni maisha ndio maana ukiajiriwa unatumikia hadi uchakae ndio aje mwingine na hio ni system ya dunia nzima

Ukitaka kuajiri kwa miaka mitano wazidishe maslahi ya sasa mara 5 ili mtu aweze kujiendeleza hata akitoka. ..
Mimi nilipe milioni 10 kwa mwezi nistaafu baada ya miaka 5 haina shida
 
Kitu nilichogundua leo ni kuwa ijapokuwa hii forum ni ya Dar Es salaam Vs Nairobi, watanzania hawako tayari kukubali makosa ambayo yanahusiana na Tanzania. Most of us would rather sweep our mistakes under the rug instead of facing them with confidence! Ushauri wangu ni kuwa tuwe watu wenye upeo wa kufikiri. Ushabiki upo lakini zawadi ya kutambua pale jambo ni Jema au ovu ni upeo wa watu wachache sana. Tanzania itafanikiwa kwa kiasi kikubwa kama tukijitofautisha na majirani zetu. Tuwe watu wenye akili na nguvu ya kufanya kazi na muhimu zaidi, tuweze kuona makosa yetu wenyewe na tuyatatue. On a side note, Today is my last day as a member of this thread. I have realized that I do not need to be an active member to show my allegiance to Tanzania. Although I have learned a lot of things since I joined this battle, my role has been time consuming, distracting, and it has gotten into my personal life on a regular basis. Surely, I have come a long way, but I’m sure that many my absence will not cause any problems. I have also made mistakes. So, I apologize if I have caused any inconvenience among any of you. Hopefully, you’ll all continue to show the masses just how both TZ and KE are making progress. Also, Tanzanians..keep kicking ass.
Mkuu ni mapema sana kutoa maamuzi hayo, bado tuna kazi ya kupambania nchi yetu japo tunakwazana lkn isiwe serious kiivyo kaka, bado tunahitaji michango yako ni muhimu sana.

Usiache huu uzi kiongozi na wala hakuna mtu atakayefurahia hata kdg, tusameheane tunapokwazana mana ndivyo ilivyo kwenye forums migongano hutokea kaka, tuendelee kupambana tu mkuu.
 
Kazi Ni maisha ndio maana ukiajiriwa unatumikia hadi uchakae ndio aje mwingine na hio ni system ya dunia nzima

Ukitaka kuajiri kwa miaka mitano wazidishe maslahi ya sasa mara 5 ili mtu aweze kujiendeleza hata akitoka. ..
Mimi nilipe milioni 10 kwa mwezi nistaafu baada ya miaka 5 haina shida
Mbn huko kwenye private sectors kazi ni za mikataba na watu hawalipwi hzo milioni 10?
 
Tunakubaliana kwamba nchi inaongozwa kwa sheria na sio maamuzi ya mtu binafsi,kama sheria za kuongeza zilikuepo kwanini mtu m1 aje na zake kichwani?Sasa kama alishasema kaa
sikupingi lkn kwa hali tuliyonayo kuna ulazima huo saiz? mara nying hivyo vinafanyika ikiwa hali ya maisha au mfumuko wa maisha au mfumuko wa bei ukiwa unaongezeka.. sasa kama mfumuko wa bei wa kipindi ana ingia mpka sasa unazidi kushuka kuna ulazima gan kuongeza mshahara? wafanyakazi hawaoni ugumu ndo mana wapo kimya.. ugumu ukiwepo lazima utaonekana tu.. sawa hio sheria ipo lkn lazima tuangalie na uhalisia wa maisha yalivyo! ni magumu kwa wafanyakazi au ni ya kawaida! mim ni mmoja wa wafanyakaz ndan ya serikali, naongea kitu ninachoexperience
Tunakubaliana kwamba nchi inaongozwa kwa sheria na sio maamuzi ya mtu binafsi,kama sheria za kuongeza zilikuepo kwanini mtu m1 aje na zake kichwani?Sasa kama alishasema ukiona mshahara hautoshi Acha kazi mbona tena watu wakiondoka analeta shida...maana zipo taratibu unaweza kua nje ya system hata 5years na ukarudi
 
Back
Top Bottom