Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwani ni daktari mmoja ndio kafanya hayo!!!!

mhh mbona naanza kuliona tatizo hapa!!!
Nina uhakika hili suala si kwa madaktari tu. Watumishi wengi wa umma wanakimbilia sekta binafsi! People are most likely to care about their own welfare than deprive themselves of better working conditions for the sake of “patriotism”. Serikali ina jukumu la kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa umma na Hiyo ndiyo hoja yangu!
 
kama huyo daktari ni tegemezi/bingwa kwenye hospitali ya serikali afu akaondoka kwenda hospitali binafsi.. hio sio sawa kuondoka .. sometimes serikali inakusomesha ili unisaidie kutoa huduma kwenye idara zake ikiwa wew ndo uliebobea.. ndo mana kuna watu walikuwa wanafanya kazi nje ya nchi wanaletwa nchini ili waisaidia nchi yao ndan ya serikali.
 
Kwanza, kama tatizo ni pesa za mkopo Kwani mtu akiajiriwa sekta binafsi pesa hazilipwi? Pili, labda kulielewa hili jambo kiundani zaidi inabidi ujiulize Kwa nini watumishi wa serikali wanakumbilia sekta binafsi. Kama maslahi ni mabovu serikalini basi serikali iingilie Kati na kufanya maboresho!
sio mkopo tuu 'hivii kati ya serkali na private ni sector gani inaongoza kuwajengea uwezo watendaji wake?
 
Unataka kuniambia hakuna private universities Tanzania zinazowapa wanafunzi ujuzi? Ndio, kwasababu vyuo vya serikali vina enroll wanafunzi wengi zaidi, Idadi kubwa ya wanafunzi wanapokea ujuzi kutoka serikalini. Lakini huu sio mzizi wa tatizo. Kwa asilimia kubwa ya watu, ni heri kupata ajira yenye maslahi mazuri na kulipwa mshahara mzuri kuliko kufanya kazi yenye maslahi ya chini kisa uzalendo! Unapenda uzalendo kuliko kulisha familia yako? Unapenda uzalendo kuliko kulipa ada za shule za watoto?Na Ndio Maana ninasema kuwa serikali iingilie Kati katika tatizo hili na kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa sekta ya umma!
 
kama huyo daktari ni tegemezi/bingwa kwenye hospitali ya serikali afu akaondoka kwenda hospitali binafsi.. hio sio sawa kuondoka .. sometimes serikali inakusomesha ili unisaidie kutoa huduma kwenye idara zake ikiwa wew ndo uliebobea.. ndo mana kuna watu walikuwa wanafanya kazi nje ya nchi wanaletwa nchini ili waisaidia nchi yao ndan ya serikali.
sio rahisi,wazee wengi huwa wako dicplined sana.mara nyingi husubiri wastaafu kisha waanzishe vituo vyao na kuuza huduma.

hawa ni vijana wetu wazee wa more,tunawajua.
 
Si niliweka kauli aliyozungumza au haukuiona?
View attachment 1689836View attachment 1689838

Halafu, usichanganye manung’uniko na critical thinking. Wengi wetu ni mashabiki ila sio watu wenye uwezo wa kufikiri na kuchambua lipi ni Zuri na lipi ni baya. Kama nilivyosema, Raisi Magufuli Ana nguvu kuliko mtu yoyote nchi hii na lolote atakaloamua kufanyika lazima lifanyike. Kama tatizo ni maslahi ya kazi, Kwa nini yeye kama Rais asiboreshe hayo maslahi ili nafasi za serikalini ziwe more attractive and lucrative? Medicine sio kitu rahisi na kazi ya kuwasaidia watu kama hiyo inapaswa ipewe kipaumbele. Sio kusingizia kigezo cha uzalendo!
Ambae hajakuelewa atakua mburula tu
Maslahi ni yaleyale tangu kikwete akiambiwa haambiliki Uyu mzee nae ajue watu wana dreams zao pia...na awe anafuatilia taratibu za kikazi maana ukienda private mshahara unastop...kule utaendelea kulipa kodi Na kutoa huduma tu maana Ni kazi ileile....Yani nipate deal is milioni 3 niliache kisa uzalendo?tuacheni utani
 
Kwanza, kama tatizo ni pesa za mkopo Kwani mtu akiajiriwa sekta binafsi pesa hazilipwi? Pili, labda kulielewa hili jambo kiundani zaidi inabidi ujiulize Kwa nini watumishi wa serikali wanakumbilia sekta binafsi. Kama maslahi ni mabovu serikalini basi serikali iingilie Kati na kufanya maboresho!
Amekataza mishahara kuongezwa tangu aingie sasa anategemea nn
 
Nina uhakika hili suala si kwa madaktari tu. Watumishi wengi wa umma wanakimbilia sekta binafsi! People are most likely to care about their own welfare than deprive themselves of better working conditions for the sake of “patriotism”. Serikali ina jukumu la kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa umma na Hiyo ndiyo hoja yangu!
hawa private sector wasipo dhibitiwa nchi itakua kama kenya yani private sector wakikohoa serkal tunajiarishia na huo ndio mkakati wa kupora madaraka ya serkal kupitia private sector na hii ni kwa Africa tuu
anyway ngoja niwateme tuu hatutaelewana maana nyie mmeamua kushughulika na upande1 tuu

by the way hivi ni nchi'gani serkali wanalipa vizuri kuliko private sector?
 
Unataka kuniambia hakuna private universities Tanzania zinazowapa wanafunzi ujuzi? Ndio, kwasababu vyuo vya serikali vina enroll wanafunzi wengi zaidi, Idadi kubwa ya wanafunzi wanapokea ujuzi kutoka serikalini. Lakini huu sio mzizi wa tatizo. Kwa asilimia kubwa ya watu, ni heri kupata ajira yenye maslahi mazuri na kulipwa mshahara mzuri kuliko kufanya kazi yenye maslahi ya chini kisa uzalendo! Unapenda uzalendo kuliko kulisha familia yako? Unapenda uzalendo kuliko kulipa ada za shule za watoto?Na Ndio Maana ninasema kuwa serikali iingilie Kati katika tatizo hili na kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa sekta ya umma!
tuliza akili na kama unasmoke vuta1 baada ya 2hr nimention tuanze upya
 
hawa private sector wasipo dhibitiwa nchi itakua kama kenya yani private sector wakikohoa serkal tunajiarishia na huo ndio mkakati wa kupora madaraka ya serkal kupitia private sector na hii ni kwa Africa tuu
anyway ngoja niwateme tuu hatutaelewana maana nyie mmeamua kushughulika na upande1 tuu

by the way hivi ni nchi'gani serkali wanalipa vizuri kuliko private sector?
Ona boriti katika jicho lako ndio utoe kibanzi jichoni pa mwenzio! Wewe unalalamikia sekta binafsi lakini hulioni kosa la serikali! Sijasema kuwa mishahara ya wafanyakazi wa serikalini iwe Sawa na ya wafanyakazi wa sekta binafsi Bali nimesema mishahara ya wafanyakazi wa umma iboreshwe, maslahi yao ya kazi Pia yawe bora na ikiwezekana kuwepo na benefits mbalimbali za wafanyakazi wa serikalini!
 
Si niliweka kauli aliyozungumza au haukuiona?
View attachment 1689836View attachment 1689838

Halafu, usichanganye manung’uniko na critical thinking. Wengi wetu ni mashabiki ila sio watu wenye uwezo wa kufikiri na kuchambua lipi ni Zuri na lipi ni baya. Kama nilivyosema, Raisi Magufuli Ana nguvu kuliko mtu yoyote nchi hii na lolote atakaloamua kufanyika lazima lifanyike. Kama tatizo ni maslahi ya kazi, Kwa nini yeye kama Rais asiboreshe hayo maslahi ili nafasi za serikalini ziwe more attractive and lucrative? Medicine sio kitu rahisi na kazi ya kuwasaidia watu kama hiyo inapaswa ipewe kipaumbele. Sio kusingizia kigezo cha uzalendo!
Mzee nimesoma comments zako kuhusu rais wetu.
Kama wewe ni mmoja wa hao madaktari basi anzisha thread ya malalamiko yako haya.

1. Unajua alipokuwa anasema wachunguzwe maana yake ni nini!?
Kama huna tatizo uliondoka kwa utaratibu haina shida.

2. Either mlisaini mkataba na serikali halafu umeondoka tu kinyemela hapo unaona poa tu.

3. Either umefanya sabotage kwenye serikali. Umeondoka serikalini kwasababu watu wanakujua umeanza kuichafua serikali.

4. Kuna siri za serikali unazijua umeondoka tu bila kutoa taarifa ulipo.

Ni mambo mengi mno kuliko hiki unachokiongea

Halafu unatakiwa ujifunze Rais ni taasisi sio mtu mmoja.
 
Ona boriti katika jicho lako ndio utoe kibanzi jichoni pa mwenzio! Wewe unalalamikia sekta binafsi lakini hulioni kosa la serikali! Sijasema kuwa mishahara ya wafanyakazi wa serikalini iwe Sawa na ya wafanyakazi wa sekta binafsi Bali nimesema mishahara ya wafanyakazi wa umma iboreshwe, maslahi yao ya kazi Pia yawe bora na ikiwezekana kuwepo na benefits mbalimbali za wafanyakazi wa serikalini!
Wewe ni mfanyakazi wa serikalini!?
Ulipokuwa unaenda kuajiliwa hukujua mshahara wa serikali. Hebu ndugu usituchoshe kwenye hii battle.
 
Mzee nimesoma comments zako kuhusu rais wetu.
Kama wewe ni mmoja wa hao madaktari basi anzisha thread ya malalamiko yako haya.

1. Unajua alipokuwa anasema wachunguzwe maana yake ni nini!?
Kama huna tatizo uliondoka kwa utaratibu haina shida.

2. Either mlisaini mkataba na serikali halafu umeondoka tu kinyemela hapo unaona poa tu.

3. Either umefanya sabotage kwenye serikali. Umeondoka serikalini kwasababu watu wanakujua umeanza kuichafua serikali.

4. Kuna siri za serikali unazijua umeondoka tu bila kutoa taarifa ulipo.

Ni mambo mengi mno kuliko hiki unachokiongea

Halafu unatakiwa ujifunze Rais ni taasisi sio mtu mmoja.
Hizi hoja nilishazisema hapo mwanzo. Nilisema kuwa kama Huyo Daktari alifata kanuni zote za kuhama hana kosa lakini kama aliondoka kwa matakwa yake bila sheria basi hatia Anayo. Lakini hata kama kosa amefanya, kuna haja ya kufunga hospitali nzima?
 
Wewe ni mfanyakazi wa serikalini!?
Ulipokuwa unaenda kuajiliwa hukujua mshahara wa serikali. Hebu ndugu usituchoshe kwenye hii battle.
Kuna watu wamekuwa wakifanya kazi serikalini Kwa muda sasa lakini mishahara yao iko pale pale. Una neno lolote juu yao? Na sina haja ya kukuchosha. Kama una topic nyingine ya kuongolea, anzisha. Mimi sishikilii hoja za huu uzi!
 
Hizi hoja nilishazisema hapo mwanzo. Nilisema kuwa kama Huyo Daktari alifata kanuni zote za kuhama hana kosa lakini kama aliondoka kwa matakwa yake bila sheria basi hatia Anayo. Lakini hata kama kosa amefanya, kuna haja ya kufunga hospitali nzima?
Sasa tatizo la rais ni nini kama hizo hoja umezitoa!?
Hizo hoja ulizozitoa unazijua. Je, hoja zote unazijua!? Je hakuna hoja zingine tofauti na hizo unazozijua!?

Hebu acha bhana kutuchosha tuna mambo mengi sana ya kupambana kwenye battle hii.
 
Back
Top Bottom