Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The good thing ni kuwa bro Magu kawabana vizuri sana kwenye kona. Kaamua ku-drill visima viwili kwenye vitalu vyetu viwili tunavyomiliki. Ikiwa mradi wa LNG plant una mauzauza mengi ni afadhali tukajiongeza wenyewe mdogo mdogo tukaanza kuwauzia majirani wanaotuzunguka kwa kutumia pipelines kuliko kokomaa na kitu ambayo tunapigwa.
Sidhani kama unachoongea ni kweli negotiations bado zinaendelea huko kunakochimbwa si visima vya Equinor vilivyo block 2!
 
Jana DSM ilikuwa Epic Night
Ilikuwa nikuhama viwanja tu

Bongo star search Finals at Ubungo Plaza
Cheka tu Comedy at Mlimani city
Watu Baki Comedy show at Pssf Complex

What a night

IMG_0485.png

IMG_0487.jpg

IMG_0488.jpg
 
Oil final investment decision expected by end of March -Minister​

The Independent
January 28, 2021
Business, NEWS Leave a comment

oil1.jpg
Kingfisher-Oil-Field-Development
Kampala, Uganda | THE INDEPENDENT |

The Minister of Energy and Mineral development Mary Goretti Kitutu has disclosed that the Final Investment Decision (FID) for oil production will be taken before the end of March 2021.

Kitutu made the disclosure during an interface with the Parliamentary committee on Natural Resources on Wednesday that needed some clarifications on the sector’s Budget Framework Paper for the next financial year.

FID represents the point at which the international oil companies (IOCs) and the Government of Uganda through the Uganda National Oil Company (UNOC) will commit to oil field development. The project execution phase should commence shortly after FID with significant expenditure on building the production facilities.

The Executive Director of the Uganda Petroleum Authority (PAU) Ernest Rubondo told MPs that before the end of the first quarter of the Calendar year the FID will be taken and following this, four main projects will take shape with each of the projects costing over $3bn.

He disclosed that oil will not begin to flow until after a three year construction period.

He listed the projects as the production in Kilenga at Buliisa operated by Total E&P and Tullow Oil, the production at the Kingfisher oil field in Kikuube district operated by CNOOC, the development of the crude oil pipeline from Hoima to Tanga and the development of the Refinery.

UNoc-kitutu.jpg

FILE PHOTO: Mary Goretti Kitutu chairs a meeting at UNOC. Final decision on oil development in pipeline

He appealed to the MPs that the PAU will have to be adequately funded in order to meet the challenges of regulating the industry in light of the extensive investments he outlined.

Rubondo stated that the authority has been underfunded and yet the regulation of the projects which will be running concurrently is critical, and says the authority will be expected to perform several functions on the ground including receiving data plus processing it. He warned that without the additional funding, the consequences of no regulation would be dire.

According to the authority’s presentation before the MPs, the PAU funding allocation for the 2021/2022 financial year is 53.02bn shillings, leaving a funding shortfall of 136.138bn shillings.

Earnest-Rubondo2.jpg
Rubondo

For instance staff training requires an allocation of 7.398bn shillings but only 450.25m has been provided additionally regulation and monitoring of upstream petroleum operations requires 27.45bn shillings but only 1.5bn shillings has been provided.

Rubondo emphasizes that since the country is implementing maiden projects the staff need to be trained to regulate and monitor these projects.

Rubondo also states that the Authority will need additional staff in order to bring staff levels from the current 165 to the approved structure of 283 staff.
The minister stressed that it is critical to have the authority well-funded such that there are no delays once the FID is finalized between February and March 2020.

********
URN

Leo ana-launch mradi mwingine Tabora hii ni mikoa ipo over 1000 km toka Dar! Huku hatutumii bendera hata kwa miradi milubwa nyie hata kwa kuku!
Tuweke utani kando. Kenya kuna mambo tunaweza kujifunza kutoka kwenu. Hii ya kujenga bomba la maji ni moja. Ya pili ni ile ya kujenga majengo ya bus stations katika kila mkoa.
 
Tuweke utani kando. Kenya kuna mambo tunaweza kujifunza kutoka kwenu. Hii ya kujenga bomba la maji ni moja. Ya pili ni ile ya kujenga majengo ya bus stations kila mkoa.
pia abattoirs, hospitals, airports na soon SGR na umeme nafuu wa JNHPP! Mtakubali tuu pale atakapo-launch the last 2 lots by next year! Muogope mtu anayetenga budget kwa ajili ya miradi, maana ana nia ya dhadi, hababaishwi na mabeberu!
 
pia abattoirs, hospitals, airports na soon SGR na umeme nafuu wa JNHPP!
Airports tunazo. Kwanza zinaserve more passengers kushinda zenu. Abattoirs tunazo hata kama sio automated kama zenu. Hospitals tunazo lakini hapo tuna mambo kadhaa ya kujifunza maana hospitali zenu zimeanza kufanya complex surgeries in government hospitals. Hatuna lolote la kujifunza kwenye umeme kutoka kwenu.
 
ukinipa abattoirs 5 za kisasa kenya nafunga thread! Nimefanya research tumewapiga vibaya mno! Unaongelea airport moja ya JKIA mimi naongelea airports zaidi ya 20 all with paved runways na zinajengwa majengo ya abiria mazuri na facilities zote! wacha ubishi!
 
Airports tunazo. Kwanza zinaserve more passengers kushinda zenu. Abattoirs tunazo hata kama sio automated kama zenu. Hospitals tunazo lakini hapo tuna mambo kadhaa ya kujifunza maana hospitali zenu zimeanza kufanya complex surgeries in government hospitals. Hatuna lolote la kujifunza kwenye umeme kutoka kwenu.
kuna hospitali zaidi ya 100 regional referrals level na 400+ lower level suppporting hospitals zimejengwa across the country! Wewe unaongelea specialized zonal hospitals! huyu jamaa anagonga kila kona! saahii ameanza ujenzi wa polytechnical institutes na kasema anajenga kila wilaya nchi hii ina zaidi ya wilaya 400!
 
Hawa hawawezi kuamini kwa sasa mpaka siku tukija Kurebase GDP yetu na kuona ilo gape tutakalokuwa tumewapiga ndipo watasadiki...kwasasa hata ukiwaonesha Runway ya dhahabu watasema hyo ni south Africa sio Bongo....cjui lini tutarebase ili Uzi huu ufungwe rasmi na kuanzisha Uzi mwengne wa Tanzania VS South Africa au Egypt etc
 
kuna hospitali zaidi ya 100 regional referrals level na 400+ lower level suppporting hospitals zimejengwa across the country! Wewe unaongelea specialized zonal hospitals! huyu jamaa anagonga kila kona! saahii ameanza ujenzi wa polytechnical institutes na kasema anajenga kila wilaya nchi hii ina zaidi ya wilaya 400!
Na pesa ya kufanya miradi hii inatoka wapi?
 
makusanyo ya kodi kwa mwezi kutoka 800 billions hadi 1.3 trillions, unahoji hela zinatoka wapi??
Hio pesa ni kidogo sana kuweza kujenga miundombinu na pia kulipa mishahara ya wafanyikazi wa kiserikali. Something is not adding up.
 
Back
Top Bottom