Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww nenda kacheze unapo chezaga .... ukiwa hujui kitu funga bakuli
Value ya gdp ya kenya bado ipo pale pale, mzembe ni mzembe..
Yani anajua ukiwa katika form yako hakupiti, tatizo nyie bado mumeshindwa na watu ambao walikua wamesitisha shughuli nyingi sana..

Tanzania kuipita kenya sahauni jamaa
 
Skiza opinion ya Mghana kuhusu Kenya ambae ame tour Kenya sio wenzako wanadanganya wameishi Kenya ukiwauliza swali wanahepa.,watch his clips zenye ame tour different places across Kenya., hakuna propaganda ama wivu., facts speak louder
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] opinion za mtu mmoja utaipa mzigo ghana nzima......

unaukichaaa
 
Kwhyo hutaki[emoji23][emoji23]
Nguvu kazi ndik kila kitu kenya
Jibu lko ni rahisi tu
85A514FC-9F21-423B-B545-FDF15ED4B3B4.jpeg
 
Value ya gdp ya kenya bado ipo pale pale, mzembe ni mzembe..
Yani anajua ukiwa katika form yako hakupiti, tatizo nyie bado mumeshindwa na watu ambao walikua wamesitisha shughuli nyingi sana..

Tanzania kuipita kenya sahauni jamaa
Kabla uhare hapa nipatie fomular ya kupata GDP kwanza kisha tuendele
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] opinion za mtu mmoja utaipa mzigo ghana nzima......

unaukichaaa
Je opinion za mtu wa kutoka chato tunazifanyaje[emoji23][emoji23]

Yani kumbe wewe humjui wode maya, huyo jamaa ana exposure ya maana hata kuliko ukoo wenu wote
 
Je opinion za mtu wa kutoka chato tunazifanyaje[emoji23][emoji23]

Yani kumbe wewe humjui wode maya, huyo jamaa ana exposure ya maana hata kuliko ukoo wenu wote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we manzi kumbe unaujua ukoo wetu...?

umetisha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwenzake anakubali fact yeye anakataa fact na ni mtu huyo huyo mmoja anajiharia
Hahahahaaaaa, huyu demu anajichosha sn yn ana comment mwenyewe alafu anaji quote mwenyewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Amkeni amkeni kumekuchaaa ukuu, the most poorest lower middle income country [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
Screenshot_20210129-154017.jpg
Screenshot_20210129-154230.jpg

Back
Top Bottom