Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

joto la jiwe anzisha uzi mkuu, hii hapa walidhani hatutojua [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]

Screenshot_20210129-154017.jpg
Screenshot_20210129-154230.jpg
 
Tuliwaambia hahahahahaha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Amkeni amkeni kumekuchaaa ukuu, the most poorest lower middle income country [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]View attachment 1689112View attachment 1689113

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuliwaambia hawa kuwa reality life haiishi kwenye makaratasi,,,,kadri siku zinavyosogea dunia inazidi kufunguka na wanazidi kujulikana kiundani kuwa wapo vip....

hii ndiyo reality na wamependelewa hapo bado

ila najua wataipinga kama jinsi walivyoipinga ile ya millionares na billionares......ila mwisho wa siku watanyuti kimya
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuliwaambia hawa kuwa reality life haiishi kwenye makaratasi,,,,kadri siku zinavyosogea dunia inazidi kufunguka na wanazidi kujulikana kiundani kuwa wapo vip....

hii ndiyo reality na wamependelewa hapo bado
Baada ya huu mwaka Wakenya wote wataondoka humu jf, si umeona baada ya hizo reports mbili kutoka wamekimbia humu, wasubiri anguko kuu laja hizo ni dalili tu but maumivu kamili yaja.

Kenya is moving back to LDC fastly [emoji3][emoji3][emoji3]
 
wataipinga hiyo. ila mwisho official zipo karibu yao wataziface soon,,,,,
na hapo walikuwa pooeest kitambo sana walikuwa wanawathitili.....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

hii stor tam sana,,,,mwanzo ilianza ile link ambayo ichoboy01 huwa anaitupia hapa mara kwa mara wakawa wanaikwepa kwepa walipoona 8th wakajihisi kuwa ni 8th kwel pasipo elewa maana
 
joto la jiwe anzisha uzi mkuu, hii hapa walidhani hatutojua [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]

View attachment 1689118View attachment 1689120
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23] Fake news! Nilijua world Bank cannot contradict themselves! It must be a disgruntled Tanzanian with their propaganda machine kaamua kupika hadithi za vijiweni kisa tumewaumbua kishenzi. The source link ameweka Home | Kenyans.co.ke hio taarifa haipo, nimefuatilia world Bank to get the report na nime download yote(both summary na full report) launched this week!
[emoji116][emoji116][emoji116]

Screenshot_20210129-170941.jpg

Some of the sections nime screenshot
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20210129-163136.jpg

Screenshot_20210129-164121.jpg

Screenshot_20210129-164711.jpg

It is more about programs to strengthen and scale up economic inclusion for the poorest. Key actions taken in light of SDGs(sustainable development goals),
jamaa kamua ku cook vitu zake anasingizia world bank[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]
Report hii hapa
[emoji116][emoji116][emoji116]
Summary PDF(kwa wazembe wa kusoma)

Full report (319 pages)
 
wakanyanya wamesepa.......[emoji4][emoji4][emoji4] wazee wanaojiita matajiri na wanaojiita kuwa wao wanaviwanda vingi kuliko Tz na kampuni nyingi kuliko Tz...chaajabu wanakuwa na unemployment kuliko hao wasio na viwanda vingi pia maskin...

hii slogan yao huwa siielewi
 
Hii bado ni sahihi tu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
Pambaneni na Hali yenyu
JamiiForums1552698300.jpg
 
wakanyanya wamesepa.......[emoji4][emoji4][emoji4] wazee wanaojiita matajiri na wanaojiita kuwa wao wanaviwanda vingi kuliko Tz na kampuni nyingi kuliko Tz...chaajabu wanakuwa na unemployment kuliko hao wasio na viwanda vingi pia maskin...

hii slogan yao huwa siielewi
Fake news tembelea world Bank usome report nyambaff[emoji23][emoji23][emoji23],
Lazima itakua ni mtanzania alipost hiyo hadithi ya vijiweni akisingizia world Bank ama ni mwana CCM, [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787] ,

Soma report yote uelewe;
Screenshot_20210129-170941.jpg

Ama chambua summary;
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23] Fake news! Nilijua world Bank cannot contradict themselves! It must be a disgruntled Tanzanian with their propaganda machine kaamua kupika hadithi za vijiweni kisa tumewaumbua kishenzi. The source link ameweka Home | Kenyans.co.ke hio taarifa haipo, nimefuatilia world Bank to get the report na nime download yote(both summary na full report) launched this week!
[emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 1689212

Some of the sections nime screenshot
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1689214
View attachment 1689213
View attachment 1689215

It is more about programs to strengthen and scale up economic inclusion for the poorest. Key actions taken in light of SDGs(sustainable development goals),
jamaa kamua ku cook vitu zake anasingizia world bank[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]
Report hii hapa
[emoji116][emoji116][emoji116]
Summary PDF(kwa wazembe wa kusoma)

Full report (319 pages)
huo ndiyo ukweli..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

pini imekuingia sikioni mzee ojwani. ..halafu nyie si mnaviwanda vingi kuliko dunia nzima kwa jinsi mnavyojimwambafai...

how mnakuwa na rate kubwa ya unemplyment...?..
au industrial yenu huwa mnaajiri robots..?[emoji1787][emoji1787]
 
The Advertisement by the World bank on the release date; JANUARY 26, 2021, TUESDAY!! 😂 😂 😂 😂 😂
Yaani mnatamani kenya ife ama iangamie mpande., laana ya ajabu hii., jama anapika news uchwara.,
1611932192379.png
 
huo ndiyo ukweli..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

pini imekuingia sikioni mzee ojwani. ..halafu nyie si mnaviwanda vingi kuliko dunia nzima kwa jinsi mnavyojimwambafai...

how mnakuwa na rate kubwa ya unemplyment...?..
au industrial yenu huwa mnaajiri robots..?[emoji1787][emoji1787]
Ukweli hua inawatesa sana umekua heart broken[emoji174][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji28] pole sana, try something else,[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Wivu ni mbaya na shetani ni mwongo[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umeumia eeehh, chukua hii hapa toka kwa kenyan source, ugua polee [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji3545][emoji3545][emoji3545][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]

huo ndiyo ukweli..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

pini imekuingia sikioni mzee ojwani. ..halafu nyie si mnaviwanda vingi kuliko dunia nzima kwa jinsi mnavyojimwambafai...

how mnakuwa na rate kubwa ya unemplyment...?..
au industrial yenu huwa mnaajiri robots..?[emoji1787][emoji1787]
Usipate nao tabu mkuu, hata ile report ya millionaires walipinga mwanzoni mwisho wakakubali, unajua Wakenya huwa wanakubali ukweli pole pole mana wameongopewa kwa miaka mingi mno so hata hii pia wataikubali tu hakuna jinsi, twende nao taratibu wataelewa tu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3545][emoji3545][emoji3545][emoji3545]

From kenyan source.

Back
Top Bottom