Nilichojifunza humu kuhusu huyu jamaa
Yosef Festo na
komora096 hawa Ni maneno mengi sana , nimeweka miradi zaidi ya thelasini kwenye nyanja tofauti tofauti bongo iliyofanyika 2015-2020,wao wameweka maneno eti wanakwambia wana facts (Google) nimewadharau sana . Ubishani wa mambo kama haya ya ukuaji wa uchumi sio maandishi wazee ni kwa ground tu,itoshe kusema nowdays Kenyans tumewapiga karibu Kila kitu,
Tony254 wewe ni muungwana sana kwenye ukweli najua unasema,watu wa aina yako ndio napenda kujibizana nao