tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Uchumi kusinyaa manake shughuli zakiuzalishaji zimepungua sana na Ajira hakuna...kwhyo mmesharudi kazini wote na uzalishaji uko kawaida?Major factor was covid19 lockdown., but now tumerudi, kazi inaendelea licha ya siasa, si unajua sisi tunapiganga kelele tukifanya kazi., evidence tutawaonyesha.,


