komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Achana naye huyo, anahalalisha mamake azae watoto kumi kisa yeye ni mnene lkn yule mwembamba akizaa wawili anakataaHakuna neno projection hapo. Kuna njia mbili za kucalculate population.
Ya kwanza ni census na hio ndio preferred maana sio estimate. Ya pili ni projection ambayo ni estimate. Kwa mfano tunajua kwamba Tanzania population yenu inakuwa kwa kiasi cha 2.97% kila mwaka basi tunaweza kutumia hii data kuproject population ya Tanzania miaka mitano ijayo. Kwa hivyo tunaweza kusema kwamba in 2026 Tanzania will have 72 million people. Lakini hii ni estimate tu maana hio 2.97% population growth rate ni estimate tu. Lakini hio mwaka wa 2026 tukifanya census (kuhesabu watu wote mmoja mmoja) halafu tubaini kwamba Tanzania ina 68 million people basi utaamini data gani? Ya census inayosema mpo 68 million au ya projection inayosema mko 72 million?



Kweli mbweha ni mbweha tu








