Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

8D6E2F36-A395-4914-B552-BD34DE556651.jpeg
 
Hamutaikamata level ya tanzania kwasababu watu hawafi kwa njaa hakuna ukabila hakuna ufisadi uliopitiliza hakuna vita hakuna slums so jipangeni
The result of your economic output speaks otherwise..,
 
ile GDP iko wapi au sasa hvi iko ICU kwa madeni yasiolipika
Sasa south Africa vile kila kitu kimesambaratika kwa sasa GDP yao ya around $350B haipo?, ama Nigeria na negative growth $400B imepotea?., na Angola je? Unaelewa economics kweli?, kunywa bro
 
Sisi tuna elimu bora ushuzi wa nguruwe

Is that an indication of education system ama jamaa kajitengenezea cheti bandia? , leo uta expose your idiocy hadi jua itue magharibi kunywa more nimelipa bill ,
 
Kenya haviko bro., we have none going on watu wako barabarani wanarusha mawe 24/7, BBI sahi rally zinaendelea 24/7., hakuna maendeleo ichoboy01 , TZ Africa yote inaendelea peke yake , mnatisha sana nashangaa
Subiri 2022 kazi mutaiona vyema 🤣🤣🤣 munakaa kupoteza pesa za tax payers kwa upuuzi unaioitwa BBi wakat wakenya hawana chakula na maji safi 😅😅😁😁 sijawah kuona nchi duniani siasa zinaanza 2 yrs before the election sijawah toka nimezaliwa
 
Is that an indication of education system ama jamaa kajitengenezea cheti bandia? , leo uta expose your idiocy hadi jua itue magharibi kunywa more nimelipa bill ,
🤣🤣🤣🤣🤣 kwani ukiwa na kitu kidogo hukosi cheti kenya sema tu ukweli
 
Sasa south Africa vile kila kitu kimesambaratika kwa sasa GDP yao ya around $350B haipo?, ama Nigeria na negative growth $400B imepotea?., na Angola je? Unaelewa economics kweli?, kunywa bro
Leo naona hujaifananisba na debt ya japan 🤣🤣🤣 umeruka kabisa huko

kabla hujachunguza kama mwenzako ana makalio ww unatakiwa ujihesabu uko sawa sawa🤣🤣🤣👇👇👇👇👇

9DA47355-74FA-45B6-A9F8-CACE3194EE66.jpeg

Subiri 2022 kazi mutaiona vyema munakaa kupoteza pesa za tax payers kwa upuuzi unaioitwa BBi wakat wakenya hawana chakula na maji safi sijawah kuona nchi duniani siasa zinaanza 2 yrs before the election sijawah toka nimezaliwa
..in this sickness we better you in economic output, na bado tunalalamika kwa sababu we know our potential, hiyo ni way below,. Nyie mnaficha uchi kisa uzalendo, ., Your annual reports are a contrast of your noises! Yaani nyie ni empty clouds kwa sky., mnakusanyika utadhani mvua itanyesha kisha matokeo ni opposite., haiambatani na what u claim to have, revenue one of the indicators., poverty levels nyingine,. blah blah blah ndio kibao ,
 
Poverty level gani wakat unemployment rate iko times three of tanzania unategemea nn maisha mazuri hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Na hapo tanzania population ni kubwa kwa kenya ila unemployment rate kwenu ni times three alaf bado munakenua meno hapa

Back
Top Bottom