Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sina census data ya Ghana so nimetumia hii projection. Census ndio actual data na hio sina. Kama ningekuwa na census data ya Ghana basi singetumia hio projection.
sasa kwanini utumie hiyo projection wakati umesema hampo 52M....?....

kwanini ulinganishe populstion ya wenzako kupitia projection ambayo population unaipinga..?..
 
Kwani umeme kwenu bado unakatika?
Hapana haijawahi kutokea kitu km hii
Screenshot_20210129-105557.jpg
 
tunavuta maji kutoka ziwa victoria hadi shinyanga isaka, mkoa ambao haupo top 5 ya mikoa mikubwa Tanzania, lkn nairobi makao makuu ya kenya haina maji
huo ndo utofauti wa Tanzania na Kenya. Suala la Maji na Umeme, Tanzania tunapiga hatua kubwa sana zaidi ya Kenya
 
ichoboy01 hapo vipi? tukingoja 2022, check this video clip,, Eastlando..,the headquarters of sheng.,
 
Onesha hilo neno projection.
Kwani lazima waandike projection ili iwe projection? Wewe ndio mtu umesoma economics na bado huelewi haya mambo?
Hii mambo ipo katika unit ya demographic economics
Jifunze hapa formula ya kucalculate population projection. Mimi nimemaliza mjadala.
 
tunavuta maji kutoka ziwa victoria hadi shinyanga isaka, mkoa ambao haupo top 5 ya mikoa mikubwa Tanzania, lkn nairobi makao makuu ya kenya haina maji
huo ndo utofauti wa Tanzania na Kenya. Suala la Maji na Umeme, Tanzania tunapiga hatua kubwa sana zaidi ya Kenya
Magu anakuambia kuanzia 2021 hataki umeme ukatike, hapo akiwa anaongea hivyo tayari umeme hausumbui kabisa, lkn wenzetu bado wapo huku
Screenshot_20210129-105557.jpg
 
Bado unaendelea sio, hii ni mara ya mwisho nakuonya wacha hayo maneno kwakuwa mm sijawahi mgusa mama yako.
Mama yangu hajazaa watoto kumi, upo huru kusema kazaa watoto wa tatu km vile mm nipo huru kusema kazaa mamako kazaa watoto kumi kw standard ya nchi kubwa kubwa km tanzania
 
Mama yangu hajazaa watoto kumi, upo huru kusema kazaa watoto wa tatu km vile mm nipo huru kusema kazaa mamako kazaa watoto kumi kw standard ya nchi kubwa kubwa km tanzania
Weka ushahidi hapa kwa hilo unalosema usipoweka utakuwa unahamu ya kuliwa jicho na mm.
 
ichoboy01 hapo vipi? tukingoja 2022, check this video clip,, Eastlando..,the headquarters of sheng.,

Hio video nilishaona kitambo sana hakuna kitu hapo zaidi ya hzo estates za investors wakat majority wako kwenye slums wana nyea debe👇👇👇🤣🤣🤣🤣 80% of nairobi residence wanaishi kwenye slums alaf unashangilia hapa
 
Back
Top Bottom