Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna neno projection hapo. Kuna njia mbili za kucalculate population.
Ya kwanza ni census na hio ndio preferred maana sio estimate. Ya pili ni projection ambayo ni estimate. Kwa mfano tunajua kwamba Tanzania population yenu inakuwa kwa kiasi cha 2.97% kila mwaka basi tunaweza kutumia hii data kuproject population ya Tanzania miaka mitano ijayo. Kwa hivyo tunaweza kusema kwamba in 2026 Tanzania will have 72 million people. Lakini hii ni estimate tu maana hio 2.97% population growth rate ni estimate tu. Lakini hio mwaka wa 2026 tukifanya census (kuhesabu watu wote mmoja mmoja) halafu tubaini kwamba Tanzania ina 68 million people basi utaamini data gani? Ya census inayosema mpo 68 million au ya projection inayosema mko 72 million?
So, is this a projection or a reality [emoji116][emoji116]
Screenshot_20210129-074522.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani ukiwa na kitu kidogo hukosi cheti kenya sema tu ukweli
..so education system inatoka wapi hapa?., that is a norm in the world, forgery imekua from time immemorial, across the globe, kwanza ya Magufuli ndio uchwara, reasoning in relation to his papers ni bingu na nchi, naskia mtu kaleta maswali kuhusu credibility ya his papers alinyamaziwhwa haraka upesi., tulia bro, Joho kanunua degree Kampala University., haimanishi masomo ya Uganda iko chini., Kindly improve on your reasoning sometimes, umelewa ama nikuongezee more?[emoji898][emoji898][emoji898][emoji898]Leo bill ni yangu kesho wewe utanijenga..,
 
Sasa south Africa vile kila kitu kimesambaratika kwa sasa GDP yao ya around $350B haipo?, ama Nigeria na negative growth $400B imepotea?., na Angola je? Unaelewa economics kweli?, [emoji23][emoji23][emoji23] kunywa bro[emoji898][emoji898][emoji898][emoji898]
GDP maana yake ni faida itanayo na huduma na bidhaa mnazozalisha nchini nothing special

Ninyi Kenya hamna inclusive economy hivyo hata faida hiyo hsiwahusu ninyi fukara bali wageni wachache sana, ndio maana pamoja na hiyo GDP bado mnakufa njaa na hamuwezi kujenga hata kilometres 2 za lami bila mkopo
 
Kila sehemu kuna joto alaf mko hapa kusifu GDP inayojiharishia madeni yasiolipika 🤣🤣🤣👇👇👇👇

 
..so education system inatoka wapi hapa?., that is a norm in the world, forgery imekua from time immemorial, across the globe, kwanza ya Magufuli ndio uchwara, reasoning in relation to his papers ni bingu na nchi, naskia mtu kaleta maswali kuhusu credibility ya his papers alinyamaziwhwa haraka upesi., tulia bro, Joho kanunua degree Kampala University., haimanishi masomo ya Uganda iko chini., Kindly improve on your reasoning sometimes, unelewa ama nikuongezee more?[emoji898][emoji898][emoji898][emoji898]Leo bill ni yangu kesho wewe utanijenga..,
Sisi tuna best educatiom system aliewadanganya nani au kwa hicho kiingereza chenyewe broken 🤣🤣🤣🤣 mtu akijua english kidogo basi msomi mafala sana nyie
 
GDP maana yake ni faida itanayo na huduma na bidhaa mnazozalisha nchini nothing special

Ninyi Kenya hamna inclusive economy hivyo hata faida hiyo hsiwahusu ninyi fukara bali wageni wachache sana, ndio maana pamoja na hiyo GDP bado mnakufa njaa na hamuwezi kujenga hata kilometres 2 za lami bila mkopo
Hawezi elewa maana yake 👇👇msamehe tu

 
Hiyo ya kuzindua miradi kwa kutumia bendera ya nchi ni tamaduni ya Kenya. Yeye ameenda kwenye internet na akakosa kabisa kupata mfano kama huo from another country. Sisi huwa tunalaunch hadi wanadamu sio ng'ombe tu. Hawa ni wanariadha waliokuwa wanaenda olympic ya 2016 wakizinduliwa na rais
View attachment 1688811


Cc chongchung
Hebu wacha ujinga, hayo mambo co utamaduni wa Kenya ni utamaduni wa dunia nzima tulioutoa kwa Western countries, au bendera pia mlianzisha nyie?
 
Kwahyo milioni 10 mbele na udogo wa nchi yenu kwetu we unaonaje? Ni sawa? Yn nchi inaingia mara mbili na bado tumewazd watu milioni 6 pekee, watu kweli mnapigangana mbupu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukubwa wa mwili haumuhalilishi mtu kujizalia hovyo[emoji23][emoji23]
Tokea 1960 mkenya wa kawaida anapiga watatu mtz anapiga saba, aisee noma sana..
Tena bado hamjahesabiwa tunasubiria census yenu mtafika 80m soon
 
Poverty level gani wakat unemployment rate iko times three of tanzania unategemea nn maisha mazuri hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na hapo tanzania population ni kubwa kwa kenya ila unemployment rate kwenu ni times three alaf bado munakenua meno hapa

Did you read this report keenly?[emoji23][emoji23][emoji23] unalazimisha fikra zako etibl three times ya Tz, the situation is dire across Africa, a general report on Africa, capturing the period ya covid19, Tz hapa ndio worse, have u checked out the whole report from the Afro-barometer research network website?, Utasema Tanzania mnaonewa wamelipwa na wazungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]kunywa zaidi bro[emoji898][emoji898][emoji898][emoji898][emoji898][emoji898]., jitekenye ukicheka[emoji23][emoji1787]
 
Sisi tulikuwa 10 million na nyinyi mlikuwa 11 million wakati tunapata uhuru. Lakini baada ya miaka 50 nyinyi mumetuzidi na zaidi ya watu 10 million. Sasa ni watu gani wanapigana kuni sana?
Huyo kwao utakuta wapo kumi[emoji23][emoji23][emoji23]ndio manake kila mtu anakimbilia dar
 
Sasa south Africa vile kila kitu kimesambaratika kwa sasa GDP yao ya around $350B haipo?, ama Nigeria na negative growth $400B imepotea?., na Angola je? Unaelewa economics kweli?, [emoji23][emoji23][emoji23] kunywa bro[emoji898][emoji898][emoji898][emoji898]
Wewe kuanzia asubuhi, mchana, mpk usiku unahubiri GDP tu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Tanzania ni kubwa karibu mara mbili ya Kenya nilitegemea tuwazidi watu zaidi ya mil 30 yn tukiwa mil 60 nyinyi muwe mil 30 lkn wapi, Tz ni mil 60 while Kenya ni mil 52.57 wht a joke!! Mnapigana mbupu kinoma yn, mnazaana sana wallahi [emoji3][emoji3][emoji3]
Afrika ni kubwa kuliko china lkn china wametuzidi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukubwa wa mwili haukuhalallishi uzae watoto kumi kumi, yani babako alimuumiza sana mamako walai..
Yani mpo kumk na mbili[emoji23][emoji23]
 
Kenya haviko bro., we have none going on watu wako barabarani wanarusha mawe 24/7, BBI sahi rally zinaendelea 24/7., hakuna maendeleo ichoboy01 [emoji1787][emoji1787][emoji23], TZ Africa yote inaendelea peke yake , mnatisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji23] nashangaa[emoji44][emoji44][emoji15][emoji15]
Umeshaanza kuujua ukweli, vp GDP mbn hujaitaja hapa [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Sisi tuna best educatiom system aliewadanganya nani au kwa hicho kiingereza chenyewe broken [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu akijua english kidogo basi msomi mafala sana nyie
...who brought the language thing here? Wewe hauna defence at all, reasoning na language zinapatana wapi?., lugha is a means of expression, content yenye unamwaga ndio tunaangalia ata ukitema maneno kwa kisukuma haina makosa, issue ni what are you spewing out of your mouth?, hapo sasa., Watu wako eti na PhD na reasoning ya an ignorant semi illiterate
 
Mombasa ina nn [emoji3][emoji3] hakuna mji umekufa kibiashara kama mombasa leo biashara zote mumezitoa coast mumepeka nairobi alaf unazungumza nn wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekurupuka
 
Back
Top Bottom