Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Magufuli anapenda Chato sana. Huu ni upendeleo wa kimaendeleo.
Naamisha Maji ya Matumizi ya NyumbaniSisi around 30% of our electricity is produced from hydropower lakini hydropower plants zetu zilijengwa zamani in the 1960s , 1970s na early 1980s. Lakini baada ya Kenya kugundua geothermal power in the late 1970s na Japan kusaidia Kenya kutap hii power source basi Kenya haijawahi kujenga nyingine kutoka 1980s hadi sasa. Tunaelekea miaka arubaini bila kujenga hydropower dam kubwa.
Umejibu swali tofauti na uliloulizwa. Umeulizwa je, huwa mnakunywa tope!?Sisi around 30% of our electricity is produced from hydropower lakini hydropower plants zetu zilijengwa zamani in the 1960s , 1970s na early 1980s. Lakini baada ya Kenya kugundua geothermal power in the late 1970s na Japan kusaidia Kenya kutap hii power source basi Kenya haijawahi kujenga nyingine kutoka 1980s hadi sasa. Tunaelekea miaka arubaini bila kujenga hydropower dam kubwa.
Hii kitu italeta mapinduzi ya ukweli...hapa wawekezaji watatukimbilia wenyewe. Tony254 nakuheshimu sana bro na najua licha tu ya kubishana nasi lakin pia unatamani kujifunza yaliyopo bongo,tazama hii vid utakua na mengi ya kujifunza humu. My fellow tanzanians msiache kuangalia hii,tujue umeme wa maji unachangia MW ngapi kwenye gridi ya taifa
Mbona hamjajenga flyover Turkana!? Uhunye anapendelea sana Nairobi.Magufuli anapenda Chato sana. Huu ni upendeleo wa kimaendeleo.
Mondi naye hachaguagi chaka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakenya bhana.......
huyu mungiki asiye na hadhi kwani hajakaona kale kajamaa from sauti saul kale kafupi kuliko wote halafu kana vijino mithili ya pembe za ndovuView attachment 1687227
nani aliyekuambia kuwa waswahili ni kabila....?Kwani wewe hujui kwamba Waswahili wa Kenya ni Wabantu? Ama hujui kwamba Kenya kuna watu wa kabila la waswahili?
Strabag na huyu mchina ni mbingu na ardhi. Hawa wachina wanaungaunga balaa.Phase 3 wampe mu austria strabag aliyejenga phase 1
Ikiwezekana watangaze hata mbili kwa mpigo phase 4 nayo ianze
Waboreshe huduma za phase 1 pia kwa kuongeza magari na kurudisha system ya card
Wewe mimi nakupuuzilia mbali. Zamani ulikuwa mtu sober na very intelligent, siku hizi umekuwa mjinga sana. Hapa ni kumbi la watu mature wanaofanya debate ya heshima na utu uzima.Umejibu swali tofauti na uliloulizwa. Umeulizwa je, huwa mnakunywa tope!?
Nani alikuambia kwamba wao sio kabila? Njoo Kenya uwaone.nani aliyekuambia kuwa waswahili ni kabila....?
Wewe tu na uzembe wako, ila mambo mengi yashawekwa juu huko, btw miradi ni mingi sana Tz huwezi maliza yote, mingi sana.Asante kwa kutupea hizi mavideo bana. Hawa wenzako wa huku wapo lazy tu. Hawamwagi nondo namna hii. Unatufunza mengi kwa kupitia video zako
nairobi 90% hawana maji! mabomba ni scrapper! Kiswahili ni lugha ngumu sana hawa jamaa kukuelewa!Umejibu swali tofauti na uliloulizwa. Umeulizwa je, huwa mnakunywa tope!?
Sisi tumejikita kwenye umeme wa maji na gesi.Nyinyi mnazalisha 2.4 MW ya windpower wakati Kenya inazalisha zaidi ya 400 MW ya windpower. Anyway hongera kwa step ya kwanza mliochukua.
Kwa Kenya kila kitu kinawezekana japokuwa Kiswahili kimetokana na muingiliano wa kibiashara kati ya Waarabu na Wabantu wa coast, hawa jamaa wamepewa kabila kule kenya! usishangae babu yaani ni kama siye tuamue Wazaramo, Wakwere, Wangazija wawe na kabila la Waswahili!Nani alikuambia kwamba wao sio kabila? Njoo Kenya uwaone.
Hata miradi ya geothermal inakuja!Sisi tumejikita kwenye umeme wa maji na gesi.
Hata sisi pia hatujui mengi kuhusu nchi zingine, tumejikita na mambo yetu tu, hizi choko choko unazoziona mlianza nyie baada ya kuanza kufatilia maisha yetu na ndiyo maana ukafunguliwa huu uzi, soma maneno ya mwanzo kabisa aliyoanza kuandika Annael ambaye ndiye mfungua huu uzi utaelewa kwmb nyie ndiyo mliotaka hii battle.Mwenzako kikihboy ameuliza swali kwa roho safi lakini wewe badala ya kumjibu unaanza kumkejeli. Kitu usichokijua ni kwamba Wakenya wengi sana hawajui lolote kuhusu Tanzania licha ya sisi kuwa majirani. Kwa hivyo hapa sote tumekuja kujifunza jambo kuhusu jirani yetu.
Tuna dam lakini sio nyingi. Tunastahili kujenga more dams za maji ya matumizi ya nyumbani. Kama kuna mahali tumelegeza kamba na kuzubaa ni hapa kwa kusupply maji ya bomba majumbani. Hii inataka dam nyingi kujengwa na inataka rais mwenye upeo na mawazo hayo.
Sisi tumejikita kwenye umeme wa maji na gesi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah!!!!! huu niujinga wa hali ya juu unajihaibisha chiefNani alikuambia kwamba wao sio kabila? Njoo Kenya uwaone.