Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,063
- 8,227
Huo mradi unatakiwa kuisha lini....Mimi nna hamu na BRT ya gomz waanze
Utaanza hata kabla phase 2 kuisha na phase 4 pia utaanza kabla ya 3 kuisha haitasubiriana
Huo mradi unatakiwa kuisha lini....Mimi nna hamu na BRT ya gomz waanze
Make Google ur friend bro [emoji116][emoji116]Sasa unafanya kazi aje ili umeme upatikane?
KenyaHapa Ni Tz wapi[emoji7]?
View attachment 1687215
. Tony254 nakuheshimu sana bro na najua licha tu ya kubishana nasi lakin pia unatamani kujifunza yaliyopo bongo,tazama hii vid utakua na mengi ya kujifunza humu. My fellow tanzanians msiache kuangalia hii,tujue umeme wa maji unachangia MW ngapi kwenye gridi ya taifa
. Je umewahi kujua maisha ya wafanyakazi wa mradi wa mwalimu nyerere hydroelectric power plant wanaishije.? Tony254 The best 007 Venus Star ichoboy01 nyie ni wasomi wazuri humu ndani n am 100% sure mna vya kujifuza hapa .Wakikwambia sisi ni malazy we wadharau tu kwa maana ukweli ni kwamba tz is rising too high
. Na sie tunamikongoja pia kwa wind power iringa hiyo
Kwani wewe hujui kwamba Waswahili wa Kenya ni Wabantu? Ama hujui kwamba Kenya kuna watu wa kabila la waswahili?
Aliekwambia 2.4mw nani ni 100mw👇👇Nyinyi mnazalisha 2.4 MW ya windpower wakati Kenya inazalisha zaidi ya 400 MW ya windpower. Anyway hongera kwa step ya kwanza mliochukua.
Mwenzako kikihboy ameuliza swali kwa roho safi lakini wewe badala ya kumjibu unaanza kumkejeli. Kitu usichokijua ni kwamba Wakenya wengi sana hawajui lolote kuhusu Tanzania licha ya sisi kuwa majirani. Kwa hivyo hapa sote tumekuja kujifunza jambo kuhusu jirani yetu.Ushaanza kupagawa ss, sisi the most costful source of energy ya nini?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Najua Kenya waswahili ni kabila wakati Tanzania waswahili ni Utaifa! Ndo maana hamjui Kiswahili japokuwa mnajipambanua ni lugha ya taifa!Kwani wewe hujui kwamba Waswahili wa Kenya ni Wabantu? Ama hujui kwamba Kenya kuna watu wa kabila la waswahili?
PoaAliekwambia 2.4mw nani ni 100mw👇👇
![]()
Singida wind farm in Tanzania - DNV GL
DNV GL is providing a wide range of pre-construction project development services to support the Singida wind farm in Tanzaniawww.dnvgl.com
View attachment 1687232
Sisi around 30% of our electricity is produced from hydropower lakini hydropower plants zetu zilijengwa zamani in the 1960s , 1970s na early 1980s. Lakini baada ya Kenya kugundua geothermal power in the late 1970s na Japan kusaidia Kenya kutap hii power source basi Kenya haijawahi kujenga nyingine kutoka 1980s hadi sasa. Tunaelekea miaka arubaini bila kujenga hydropower dam kubwa.Hivi wakenya hamnaga miradi ya maji au Tony254 ?
Au mnakunywa matope
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mradi unatakiwa uishe katikati ya mwaka huu ila kwa ujenzi wa wachina sioni kama watamaliza ndani ya mwaka huuHuo mradi unatakiwa kuisha lini....Mimi nna hamu na BRT ya gomz waanze
Huu mradi unatakiwa uishe katikati ya mwaka huu ila kwa ujenzi wa wachina sioni kama watamaliza ndani ya mwaka huu