Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

reli yetu imechapa kazi kwa mda bila matatizo kama reli ya Ethiopia - Djibouti ambayo iko electrified.....Ikumbukwe Ethiopia wanazalisha umeme mwingi kuliko nchi yeyote ukanda huu.Only time will tell between kenya na Tanzania nani amekurupuka
Na usisahau population ya ethiopia ni almost 100m 🤣🤣🤣
 
Lazima ifuate nyayo ya mwenzake ethiopia djibout tu
Yani mumeskia kenya wana sgr na nyie mna force, kuna watu kulala porini
em pata picha ndo unapanda e,sgr kwe station '5' af speed 160kph
JamiiForums-2034546004.jpg
Screenshot_20210118-114207.jpg
Screenshot_20210118-114211.jpg
 
Nje ya dar kuna kitu kinaitwa dunia
Watakaje tena
Eeh duniani hizo bridge na brt huwa zinaitwa first world infrastracture,yaani maana yake ni kwamba kenyatta kujenga hizo aende ulaya na asia kuomba loan,au atokee mchina awajengee kwa ppp
 
Back
Top Bottom