Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Process itakamilika lini!? Maana naona tena mnaingia makubakiano na USA. Je, nchi yenu ni malaya!?
The more free trade areas we have the more our economy flourishes so the more the merrier sasa manfacturing sector yetu itagrow and we will get market for our products without restrictions halafu birds of a father flock together tukianza kufanya biashara na big boys soon we will be a big boy too 🙏🙌😂😂
 
Process itakamilika lini!? Maana naona tena mnaingia makubakiano na USA. Je, nchi yenu ni malaya!?
Screenshot_20210121-100921_Twitter.jpg

We will be trading with UK duty free safe guarding investments
 
Process itakamilika lini!? Maana naona tena mnaingia makubakiano na USA. Je, nchi yenu ni malaya!?
US na UK ni nchi tofauti sielewi logic yako.....bado kuna free trade area ya africa nzima ambayo inaeza kuwa ratified mwaka huu na pia tupo in discussion na china kama tunaweza have such deals
 
The more free trade areas we have the more our economy flourishes so the more the merrier sasa manfacturing sector yetu itagrow and we will get market for our products without restrictions halafu birds of a father flock together tukianza kufanya biashara na big boys soon we will be a big boy too 🙏🙌😂😂
Sisi inatutosha AGOA.
Halafu what goods do you manufacturer can enable you to sell in The USA!?
 
Sasa hayo mashamba yaliyopo kericho owned by James Finlay Limited.
Wakenya wanafaidika nini!?
Thats why we making the cake big kila mtu anapata share si lazima kungangania na investors wenye actually wame employ 1000 of kenyans
 
Process itakamilika lini!? Maana naona tena mnaingia makubakiano na USA. Je, nchi yenu ni malaya!?
Hawa watu wanafikiri kwa kutumia akili ndogo sana, Yaani fahari yao ni kupiga pictures za wazungu wakiwa wamebeba madaftari

Hawajui potential kubwa wamezikalia wenyewe, wao wakae wafanye analysis ni kiasi gani cha

Edible oil
Sugar
Rice
Maize
Clothing
Nk wanaimport kutoka nje, utakuta ni billions of money is going out than what all the sum comes from those books wanazotutambia hapa wamezinyanyua juu eti export agreements

Baada ya Magufuli kuona hilo ndio maana saivi kaunda task forces kuhakikisha bidhaa zote tunazoagiza kwa wingi tunaanza kuzizazilisha wenyewe as soon as possible

Ndio maana unaona mashamba ya chikichi yamefunguliwa, mashamba ya ngano yanafunguliwa, miwa sababu ya sukari, yaani ni minimization ya importation kwanza kabla ya kufikiria sana kuhusu exportation

Wakenya hiyo akili hawana, wanafurahi kuona box mbili za made in Kenya kwenye shelves za wazungu lakini kuna millions of made in China, UK, US kwenye kila Kenyan households, that's insane. 🚮
 
Thats why we making the cake big kila mtu anapata share si lazima kungangania na investors wenye actually wame employ 1000 of kenyans
Nipe proof ya hiyo cake share. Maana Unemployment rate Kenya ni kubwa mno while your population ni ndooooogo kama mchicha.
 
Japo Tanzania ilikua inaongoza duniani kwa uzalishaji wa katani lakini baada ya msukosuko mkubwa wa kiuchumi miaka ya 80s the whole thing was absolutely derailed

Sasa tu import millions ya magunia ya katani kubebea korosho, yaani magunia ya kubebea korosho tu tunanunua kila mwaka yana thamani ya zaidi ya billion 500, just imagine ni ajira kiasi gani zingetengenezwa na pesa kiasi gani zingeingia kwenye value chain

Kwa, kulijua hilo Magufuli hana mpango na vijicent vya wazungu kwenye vimikataba uchwara kama wakenya, anaminimize importation kwa kuweka mikakati kuitekeleza ni namna gani all those damn billions are pocketed into citizens

Back
Top Bottom